If your real man utanielewa ila kama ni ujakuwa mwanaume uwezi nielwa
Wnaume wa kitanzania wengi mnasex wengi sana hamjui kumake love ndiyo maana nikasema ukiona unampa sex akachepuka jua huyo anahitaji kumake love hii ni topic nyingine kabisa na data zake ni tofauti..... men need sex... making love is advanced stage that all
SEX SIO MAPENZI.... SEX NI SEHEMU TU YA MAPENZI, NA NI SEHEMU NDOGO SANA...ILA NI SEHEMU MUHIMU SANA KATIKA MAPENZI...
KAMA SEX NI KILA KITU NA MADADA POA WALIOVOJAA MJINI WANAUME WENGI WASINGEOA MAANA WANAJUA SUPPLY IS MORE THAN DEMAND, NA SUPPLY IS PERFECT SUPPLY... WHAT A MAN WANTS IS MORE THAN SEX...BUT SEX BEING A FIRST DEMAND IN BUSINESS!!! CHEZA NA HISIA ZA MKEO AU MMEO, HAKUNA FORMULA SAHIHI!!
NAOMBA NISAHIHISHWE!!
gsana!!
Men need sex
sasa kumbe wapo wanaume wanahitaka kumake love.
Uhitaji ni natural na kutaka si natural. Anayetaka sex anaweza kuzuiwa ikaacha ila mwenye uhitaji hata ukimzuia atabaka. Mfano mwanaume ana uhitaji wa sex kwa vile mwili wake unatengeneza mbegu na lazima zitoke iwe kwa punyeto au k. Sie wanawake tuna utashi wa sex kwani wakati wa ovulation na MP ndipo hasa mwili huhitaji, ukijiminya kwa kuondoa mawazo ya sex hamu hupotea.sawa mchambuzi wa habari ..... Bamukunda embo njoo hukuu mama yangu uwwaeleze hawa vijana
Moja ya hitaji la mwanaume ni sex nasisitiza ndiyo maana ninyi mmpewa mbegu kwa ajili.yq kuzalisaha ..... mwanaume kuhitaji sex siyo ufuska wala umalaya but ni hitaji lakeMkuu naomba kutofautiana na msimamo wako: Unless unasimamia point yako kwa kuchukua sample kubwa ya wanaume malaya.Wanaume wenye maadili, wenye kuheshimu wanawake wanajizuia.
Kwa upande mwingine, kama mtu anataka kufuata moyo wake utakavyo, ni wazi swala hilo si la mwanaume peke yake.. Wanawake wanajizuia kwa kujitahidi sana kwa kuwa ktk jamii ndio wanaoathirika zaidi kisaikolojia linapokuja swala la soni!!!
Tatizo langu naandika sana, sijui nifupisheje, ngoja nijitaidi leo...
kwanza,Namuunga mkono Deshmo....
Pili: mapenzi hayana formula.
Tatu wadada msijidanganye sex sio kila kitu...
Nijuavyo mimi, mdada jitaidi kuwa perfect... kumradhi mimi niliwahi kuwa na partner wa kwanza kabisa, kwenye sex nikiri tu siwahi kupata kama yule, sijawahi kumpata mtu ambaye anaweza kula tunda kabla ya dinner, baada ya dinner, usiku wa manane na cha mwisho asubuhi tunaamka, nikiri tena sijawahi...
Kilichotokea, mdada ni mbishi of the highest order, ni mtu ambaye halikuwa akishka bango kwenye kitu mnakesha kwa kubishana, ni mdada aliyetaka kila hoja, kila kitu twende sawa, nusu kwa nusu...ugomvi kila siku...akirudi nyumbani ni shida akiondoka raha,tulichokana kwa ilo na kumwagana...
Scenario nyingine:
Unakuta mdada ni perfect, ni mzuri ila hajikei/ yani haya care kwa mwili wake, too rough au kwa kifupi too simple... yaani kila siku unazidi kumuona kawaida tu,...inafikia hatua hata aende bafuni uchi , wewe uko sebureni unacheza game, sawa ni mnene, mwembamba, nyingu, au model, ana figure ila hajui 'jinsi' ya mwanamke...unamuona kawaida wakati 'mwajisiti' kila kukicha anakuja kuomba chumvi, kuomba ufagio na karegeza kanga, au ananukia, au kapiga mapigo mpaka mmeo anapata hisia, iyo ni shida tayari na maandalizi ya mchepuko uhooooooo!!! ujue wanaume wana weakness ndogo mno, kutaka kujaribu, kujua je uyu anavojiweka ndo alivo kitandani??
Sikatai kutoa ni muhimu i.e sex ila jitaidi kujua mmeo anataka nini , wakati gani, na mazingira gani anaenda mbio...hata stahili tu ni muhimu...unaweza ukawa unatoa kila baada ya masaa mawili kumbe stahili aliyoizoea kila siku, apo ataenda mchepuko ili akutane na aliyoyamisi, na uko nje uwa watu wanajifanya watundu maana wako kikazi zaidi...mchepuko tayari.
Jua vyakula vya kumpikia mmeo, sio kila siku mlo ule ule, eti chipsi mayai, mayonaise, chipsi soseji, nk nk na ukute hausisimui hisia na misuli yake, anakaa sebureni , network inasoma 'emergency calls' then kwako haji, akitoka job muwekee maji ya kuoga, mpe hata chai ya tangawizi, akitoka kwa bafu, network inasoma 100% apo mchepuko utautoa wapi wakati ushamtengenezea 'reflex arc' yani anakuwa addicted na akijua muda wa kuoga tayari hata akikaa sehemu utasikia anaaga dah nasikia majasho sana, ngoja niingie home nikaoge, uko na chai juu na hapo kimoja akikosekani, ila aya ya '''''atarudi tu home''' utasubiri sana.
Mwisho, usiwe kama dada fulani aliyeleta mada jf juzi kati anadai oooh mme wangu abembelezi mtoto, ooh hatandiki kitanda, oooh hapiki chai?? uyo ni mme au busoke>>??? na akikutana sterringi wa yote, mapenzi na kujua mme anatakaje, ....tayari utakuta manyoa dadangu.... kwa leo niishie apooooooooooooooo!!!!
SEX SIO MAPENZI.... SEX NI SEHEMU TU YA MAPENZI, NA NI SEHEMU NDOGO SANA...ILA NI SEHEMU MUHIMU SANA KATIKA MAPENZI...
KAMA SEX NI KILA KITU NA MADADA POA WALIOVOJAA MJINI WANAUME WENGI WASINGEOA MAANA WANAJUA SUPPLY IS MORE THAN DEMAND, NA SUPPLY IS PERFECT SUPPLY... WHAT A MAN WANTS IS MORE THAN SEX...BUT SEX BEING A FIRST DEMAND IN BUSINESS!!! CHEZA NA HISIA ZA MKEO AU MMEO, HAKUNA FORMULA SAHIHI!!
NAOMBA NISAHIHISHWE!!
gsana!!
Uhitaji ni natural na kutaka si natural. Anayetaka sex anaweza kuzuiwa ikaacha ila mwenye uhitaji hata ukimzuia atabaka. Mfano mwanaume ana uhitaji wa sex kwa vile mwili wake unatengeneza mbegu na lazima zitoke iwe kwa punyeto au k. Sie wanawake tuna utashi wa sex kwani wakati wa ovulation na MP ndipo hasa mwili huhitaji, ukijiminya kwa kuondoa mawazo ya sex hamu hupotea.
unaangalia kipimo or kuridhika mkuu.kinachosababisha michepuko sio sex tu kuna mengi zaidSasa kama kipimo chenyewe unanipa kidogoo hata sifurahii ndoa ntaitaka kweli?
je wajua si kila ua linanukia ila warid tu?na si kila mti unamea jangwan bali mtende tu....cant say mo u know....Mi nakupenda kwa kuspecify wallah! ai lavyu!
umenena mkuu thanks allot kila mwanaume na tabia yake ukimpa sana anakuona cheap kwanini afuge ng'ombe while maziwa unapata kila unapotaka????alipie na awweke ndani service apate fullKama hajakuoa usimpe kila siku mwaya..... aitolee mahari na kiapo ndio ajisevie tu
shake well before use for better future...nisipompa akaniweka ndani nikakuta hana mgegedo ntamlaumu nani??nataka kujua anacho na kinanitosha ndo mana siimpi kila sikuna kwa nini umpe papuchi kama hajakuoa?
ha ha ha viungo vyako kibaology vipo active sana kibabu na papuchi sio main factor kikubwa mke/mme mwemaoyaa hebu twende PM tupange mkakati wa weekend. Haya mapapuchi hata mbuzi wanayo, tena wanayaanika juu juu.