Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
57,805
Reaction score
49,109
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.

Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...

NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....

stop cheating ourselves let just give him his need.

Have a lovely weekend.
 
sex is easy

love is expensive.

life is great am so lovely.........
sawa mchambuzi wa habari ..... Bamukunda embo njoo hukuu mama yangu uwwaeleze hawa vijana
 
Last edited by a moderator:
Inategemea utafiti kaufanyia wapi kama kaufanyia baa, ofisini, barabarani au kwa Jirani yake apo yupo sawa ila kama kafanyia kanisani, msikitini au kwangu napinga kwanguvu ZOTEE
 
Hizi theories za mapenzi bhana zimekuwa nyingi sana siku hizi!

Umenena aisee, wakati mwingine unatakiwa uwe na theories zako maana hizi za walimwengu zinawajenga watu katika hofu kiasi kwamba watu wanaingia kwenye mahusiano na kufikiria mambo mabaya kuliko mazuri yaani kujenga maisha. Mtu anakuwa na checklist kichwani anampimia mwenzake kuona kama kile alichoambiwa kina ukweli au la badala ya kuangalia way forward katika mahusiano yao. Mtu anaingia kwenye mahusiano na assumtion kibao za kuachika badala za kuendelea ku-exist kwenye mahusiano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom