kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,363
Hizi theories za mapenzi bhana zimekuwa nyingi sana siku hizi!
Weka picha tuzione hizo theories..
Hizi theories za mapenzi bhana zimekuwa nyingi sana siku hizi!
Napinga,niungeni mkono wenzangu
Changamsheni akili na miili yenu La sivyo tutawaliza kila kukicha!!
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.
Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...
NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....
stop cheating ourselves let just give him his need.
Have a lovely weekend.
Umenikumbusha mbali. Kila nikimkumbuka yule demu napata allergy ya K. khaaa!!! Unaweza fia kinenani mchana kweuupeee.
invalid post specified!
Wanawake wa siku hizi wanakwambia they can take care of themselves! you just throw away money to them! just money!
Mwanaume hata uwe na sura nzuri vipi, without money, its just like pushing the wall...
Naamini nikigombania demu na wassira, kwanza kabisa S-wassira atapewa first priority kwa kigezo cha mkwanja!
Then mimi nitakula second hand...
Maneno yako hayako mbali na ukweli coz nakumbuka nilikuwa naishi nyumba moja na dem flan,duh yan nilijikuta nampenda gafla kwasabau nilikuwa hata nikimpush kwakutumia kidole changu ili niende nikamgegede alikuwa hakatai labda awe ktk hedhi duh!umenikumbusha we bidada,Ila nanyie hamuangalii kingine zaid ya monney
Mapenzi hayana theories,law, wala utafiti tatizo ni moja tu binadamu hawafanani kitabia. Utakuja na utafiti wanawake wanapenda hela kumbe wengine wanapenda care tu wakati wengine wanapenda dushe only. Kunawanaume sex sio big deal sana tembea nchi nyingi utaprove. Kwaushauri sio kila unapopanua miguu ndo unakuwa umempa mwanaume hitaji lake. UTAFITI WAKO INVALID.
sasa mwanamke mwenzng nikuulze??
km mwanamme hitaji lake ni sex na unampa kila ahitajipo na bd nje anagegeda !! tatzo nin apo
but only money does that........men need sex women need to be cared ...
but only money does that........
Sex sex sex ngono ngono for life!!!!