Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

Here's my take.

It's human nature to like variety.

Sex with the same person day in day out becomes jaded at some point.

That's where the want to have something different comes into play.

Who wants to smash the same vajayjay or pizzle forever?

You'd be hard pressed to find a person who is down with monotonousness.

As the saying goes...variety is the spice of life (= new and exciting experiences make life more interesting).

Sawa mkuu varieties okey
 
nikuulize Kibo10??
Km sex ni popote km miss chaga alivyosema..
aya sex mwanaume anapewa, na bd ana mchepuko nin sababu

Tatizo mnabakana na si kufanya mapenzi ndiyo maana anachepuka
 
Ukiona unampa kila akihitaji na bado anatoka nje basi.huyo mwanaume haridhiki na mnafanya sex kuliko kumake love.... make sure u make love

mmh hlo nalo neno best bas mahusiano ya hiv wanawake weng wanamake love while waume zao wanasex tu na wao
 
Ukiona unampa kila akihitaji na bado anatoka nje basi.huyo mwanaume haridhiki na mnafanya sex kuliko kumake love.... make sure u make love

sasa hapa sii ndio umethibitisha mwenyewe kuwa research yako hovyo. ulisema kuwa men wanahitaji sex hapa unasema kuwa ukiona mwanaume unampa sex na anatoka nje basi u need to make love. so sex is not wat men need making love is wat they need.
 
sasa hapa sii ndio umethibitisha mwenyewe kuwa research yako hovyo. ulisema kuwa men wanahitaji sex hapa unasema kuwa ukiona mwanaume unampa sex na anatoka nje basi u need to make love. so sex is not wat men need making love is wat they need.

Wnaume wa kitanzania wengi mnasex wengi sana hamjui kumake love ndiyo maana nikasema ukiona unampa sex akachepuka jua huyo anahitaji kumake love hii ni topic nyingine kabisa na data zake ni tofauti..... men need sex... making love is advanced stage that all
 
hapo ndo napowashangaa awa viumbe unampa mpk anardhka na maneno yanamtokaje kwa bed sasa mwenzio kmb lol

Tatizo ni kwamba hawajui wanataka nini kuenjoy au kumridhisha mwanaume..... ALWAYS WOMEN WANT SEX ... FEW OF THEM THEY HAVE NEED.....
 
Changamsheni akili na miili yenu La sivyo tutawaliza kila kukicha!!

mi nashangaa sana et mtu unajhdai kbs!!!!! lkn kumbuka alojuzaa nae ni ke na utakuana watoto ke. kipimo kilekile unachomliza mkeo ndo hivyohvyo watakavylizwa hao ke wanaokuhusu
 
miss chaga co kila mwanaume anaetoka amebaniwa.... ila wengine hata umpe kutwa mara tano bado atataka kubadilisha ladha aone nyeus imefananaje na ya menye makalio makubwa inanogaje? waume weng walivyo ni watu wa tamaa tuuuuu jus akichovya chovya mwiko wake kila sufuria ndo anjickia raha!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwangu noo ntampimia papuchi yangu sio ya kuchezea hajanioa unaweza kumpa kila saa na bado akachepuka

it depend tabia ya ntu na ntu

Mtazamo huu ni chanzo cha tatizo! Huwa tunapenda sana wanaotoa nafasi ya kujistify
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom