Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

Wanaume kama naongea uongo njooni mpinge hapa.

Ningekuwa Tyta au EMT au watu8 ningefukunyua threads za wanaume wanaolalamika kuwa wake zao wanataka 'too much sex' au hata wadada wanaolalamika kutopewa misosi yao ya usiku.

Michepuko inasababishwa na vitu vingi sana kiasi kwamba sio rahisi kupin point kimoja na kuassume ni kisababishi kwa wote.

Unakunywa soda gani Kaunga?
 
Last edited by a moderator:
so u telling me that only 2% wana make love? so this means wanawake wengi sana wanagegedwa tuuu....ebu basi na nyie juhurumieni au muhurumie papuchi zenu kama hazitendewi haki.

Unataka kutuambia tuache kusave wanaume wetu hapana tunawapa tu
 
Ipo hivi...man anahitaji all women dunia wamtimizie hitaji lake moja tu...wakati woman anahitaji mwanaume mmnoja tu kumtimizia mahitaji yao yoote...its natural na ni by default...BUT...dunia ya sasa haipo hivyo!
 
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.

Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...

NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo. Chakula sijui out looo...Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....stop cheating ourselves let just give him his need.
Have a lovely weekend.
yeah...The highest reward for man's toil is not what he gets for it, but what he becomes by it.
 
Kutaka na uhitaji ni tofauti

Inabidi nijifunze tena kiswahili...anyway kila mtu anaongozwa na fikra zake kuliko chochote kile. Kwahiyo mtu na mtu wanatofautiana. Ukweli ni kuwa kwa jamii ilivyo naona sasa hivi hakuna tofauti kati ya jinsia kwenye issue za michepuko. Halafu wanawake wengine wanapenda kutumia matumizi sahihi ya papuchi zao kama kigezo cha kulalamikia wanaume...wachache sana wanaobakwa...wengi ni hiari ambayo huwa inashinda utumwa!
 
hivi unapopewa ndio utoe papuchi wakati unagegedwa utakuwa na raha yyt kweli? au utakuwa unawaza budget ya salio huku unalia mwenzio alijua unamahaba kumbe unalia ili tu amalize fasta usepe? miss chagga...
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.

Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...

NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....

stop cheating ourselves let just give him his need.

Have a lovely weekend.

Mmm....kwa hiyo "wakati wowote ni wakati wa chai" ila itapendeza ukimpata aliye tayari muda wowote kuendana na hiyo kasi mpya, hari mpya...

Ila umenikumbusha day moja..nikiwa home jikoni naandaa mambo a.k.a menu a.k. mazagazaga....akaja mtotoz kunivisit....badala ya kutoa msaada kuandaa menyu, yeye akalianzisha, nami bila hiyana nikatoa ushirikiano...kissing...nikapeleka mkono kunako, duh kumbe nilikuwa nimeshika pilipili bana.....mbona tulikoma hivyo "vya jikoni".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom