Cha msingi hapa ni kuishi katika kumcha mungu na mambo yenu yataenda vizuri tu.KWANGU HOJA YAKO SIIKUBARI KABISA.
Hebu tamka neno "Sikubali" kimoyo-moyo mara 5, kisha usirudie tena huu ujinga wako hapa.

wewe hufai kuwa mwalimu
Is this a new discovery that is meant to curb adultery?
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.
Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...
NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....
stop cheating ourselves let just give him his need.
Have a lovely weekend.
kwangu noo ntampimia papuchi yangu sio ya kuchezea hajanioa unaweza kumpa kila saa na bado akachepuka
it depend tabia ya ntu na ntu
Mapenzi hayana theories,law, wala utafiti tatizo ni moja tu binadamu hawafanani kitabia. Utakuja na utafiti wanawake wanapenda hela kumbe wengine wanapenda care tu wakati wengine wanapenda dushe only. Kunawanaume sex sio big deal sana tembea nchi nyingi utaprove. Kwaushauri sio kila unapopanua miguu ndo unakuwa umempa mwanaume hitaji lake. UTAFITI WAKO INVALID.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.
Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...
NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....
stop cheating ourselves let just give him his need.
Have a lovely weekend.
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....
Hapo naunga mkono hoja tunda lazima limegwe mahali popote maadamu pana usalama tehetehe!
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Kama hajakuoa usimpe kila siku mwaya..... aitolee mahari na kiapo ndio ajisevie tu
Mmmmmmhhh
Hasa wenye ndoa.
ndo maana nayashangaa mabeberu manina zao. Mbuzi wanawawekea K juujuu, hata hawazifuniki kwa mkia.... Yenyewe yanaziangalia tu. Hayaoni wenzao majogoo wanavyozitesekea???
mambo gani tena haya Asprin wewe naona dozi yako haisaidii matatizo ya watu siku hizi bora tuanze brufen au diclofenac.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4
Good question.
Inafaa iioneshwe discovery channel. LOL