Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
umeongea ukweli wanaume wanashindia sex
Habari zenu wanajf.
Nilikuwa najiuliza kwa nini wanaume wanchepuka nikagundua wanawake tumejishau kidogo.
Katika kufanya kautafiti kidogo nimejikuta nimekuja na hili hapa.
Hitaji la mwanaume la kwanza ni KUFANYA NGONO, KUSEX, (KUFANYA MAPENZI)...
NA LAZIMA TUJUE WANAUME HAWATAKI SEX ILA WANAHITAJI SEX.
Kwa hiyo wanawake wenzangu tuache kujidanganya kuwa sijui umbo.
Chakula sijui out looo...
Mwanume yupo tayari kusex eneo lolote na wakati wowote na mda wowote............ kam unapinga naomba utoe hoja ukiwa na mifano stahiki....
stop cheating ourselves let just give him his need.
Have a lovely weekend.
Men need sex, women need money.
Mathematics solved.
miss chagga lini umebadili msimamo wa kupenda pesa zaidi ya mapenzi?men need sex women need to be cared ...
kwangu noo ntampimia papuchi yangu sio ya kuchezea hajanioa unaweza kumpa kila saa na bado akachepuka
it depend tabia ya ntu na ntu
miss chagga lini umebadili msimamo wa kupenda pesa zaidi ya mapenzi?
Is this a new discovery that is meant to curb adultery?
Ni kweli kabisa miss chagga,nimejaribu kumuelewesha mara nyingi sana umuhimu wa kushughulika lkn anasema hawezi,sijachepuka,ila nami nimejua siri za watu wengine kuchepuka kuwa ni hizo,JMN TOENI SOMO KWA WNWK WENZENU.ila sorry kwa kutoa cr.
Leo tu
kwangu noo ntampimia papuchi yangu sio ya kuchezea hajanioa unaweza kumpa kila saa na bado akachepuka
it depend tabia ya ntu na ntu
hapo nimekufahamu uzuri sasa
nakumbuka nilikupotezaga kwa kukosa mpunga
men need sex women need to be cared ...
Halafu kwa kuwaita wanaume washuhudie, hivi unafikiri watasema kuwa baadhi yao hawameet sexual needs za wake zao? Hujui egos zao, wote watasema hawatosheki.
Again ukiwaita wamama, msemo wa lara 1 wengi hawataanika mapungufu ya sex life zao (matokeo yake utapata, story za kuchoshwa na sex). Mtu yakimfika atafungua new id ndio aje na uzi.
So I guess waweza usijue kwa uhakika.
Men need sex, women need money.
Mathematics solved.