Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

ahhaha wewe muache TEAMO kapatikana leo atakoma ku promote infidelity
ha ha ha!
mimi niko interested na RESULTS za infidelity....!specifically negative results zake!
kwamba INFIDELATORS LAZIMA TUWE WASAFI
 
Teamo ...............usini nukuuu vibaya .......sijasema kuwa wanawake wote wana harufi sawa.

ninachosema ni kuwa wakati wa sex hupatikana harufu (to some ppl more powerful than others), na ile harufu yako wewe utakayopata ukifanya sex na mkeo pia yaweza kuwa na madhara kwa mtoto IF ile harufu uliyopata kwa kimada inaleta madhara................y tunazungumzia kuoga ukimalizana na kimada tu? kwa nini tusiseme tuoge hata tukimaliza kufanya sex na wake zetu?

nashindwa kupewa jibu muafaka hadi sasa .............
 
ile aspirin ipo au iko out of stock ? ishauzwa yote
ile shauzwa yote ile!
halafu ile hapana penda thread za kubrainstorm kabisa
hii sredi ina stress mingi na watu wenyewe unaowakabili wana stress zao pia
 
Teamo ...............usini nukuuu vibaya .......sijasema kuwa wanawake wote wana harufi sawa.

ninachosema ni kuwa wakati wa sex hupatikana harufu (to some ppl more powerful than others), na ile harufu yako wewe utakayopata ukifanya sex na mkeo pia yaweza kuwa na madhara kwa mtoto IF ile harufu uliyopata kwa kimada inaleta madhara................y tunazungumzia kuoga ukimalizana na kimada tu? kwa nini tusiseme tuoge hata tukimaliza kufanya sex na wake zetu?

nashindwa kupewa jibu muafaka hadi sasa .............
hivi wewe ni mwanamke au mwanaume?
kama ni mwanaume:FANYA SEX NA MKEO UNAWEZA OGA AU UKALALA UTAJIJUA!lakini kama unaishi ''kitanzania'' na kitanda ni kimoja naomba ukaoge

kama wewe ni mwanamke NA UNA MTOTO MCHANGA:fanya sex na mumeo baada ya mtoto kulala tena ikibidi muandalieni kakitanda kengine pembeni.lakini kama mnaishi ''kitanzania'' zaidi na ni MWANAMKE MWNYE MAADILI YAKO KAOGE BAADA YA KUPIGWA PAIPU NA MUMEO.

NB:nasikitika sana umenipindishia topic yangu......!maanake unabishania kitu ambacho ungeweza kukianzishia thread......!naomba urejee title ya hii thread tafadhali
 
MWANAUME INFIDELATOR WA UKWELI:ukiona umepiga ''kazi'' umeshindwa kuoga fanya unavyoweza kwa mbinu zozote zile uanzie bafuni ukifika nyumbani
 
Halafu nina mpango wa kwenda sehem sehem leo ku do ze nidiful.....japokuwa ni utaratibu kujiswafi lakini sijaon a connection kati ya harufu ya infidelity na immunity/madhara kwa mtoto mchanga

naongea from a practical exprience.....u know what I mean...:tape:
 
ngoja niondoke naona hapa kutakuwa na SIMBA na YANGA
 
hivi wewe ni mwanamke au mwanaume?
kama ni mwanaume:FANYA SEX NA MKEO UNAWEZA OGA AU UKALALA UTAJIJUA!lakini kama unaishi ''kitanzania'' na kitanda ni kimoja naomba ukaoge

kama wewe ni mwanamke NA UNA MTOTO MCHANGA:fanya sex na mumeo baada ya mtoto kulala tena ikibidi muandalieni kakitanda kengine pembeni.lakini kama mnaishi ''kitanzania'' zaidi na ni MWANAMKE MWNYE MAADILI YAKO KAOGE BAADA YA KUPIGWA PAIPU NA MUMEO.

NB:nasikitika sana umenipindishia topic yangu......!maanake unabishania kitu ambacho ungeweza kukianzishia thread......!naomba urejee title ya hii thread tafadhali

ahahah Teamo tokea mwanzo si ungelijibu hivi tu usingelipata masuala extra ambayo yamekupindishia thread yako :D

japo kuwa ushahidi wa kisayansi haukutoka ..............nimeridhika na jibu hili la KItamaduni :smile:
 
mwanaume infidelator wa ukweli:ukiona umepiga ''kazi'' umeshindwa kuoga fanya unavyoweza kwa mbinu zozote zile uanzie bafuni ukifika nyumbani

teamo umenishtua kidogo kwa hili au ndio mana babangu mdogo kila akiingia ndani dk 2 kakimbilia bafuni mi nkajua jamaa msafi kweli kumbe yawezekana anawahi kuzisafisha nini sijui
 
ahahah Teamo tokea mwanzo si ungelijibu hivi tu usingelipata masuala extra ambayo yamekupindishia thread yako :D

japo kuwa ushahidi wa kisayansi haukutoka ..............nimeridhika na jibu hili la KItamaduni :smile:

actually naelekea home sasa kuna dharura hakuna muda wa kujiswafi sijui ndo 'nimeshaharibu'!? LOL

Jibu la 'kitamaduni' tafadhali!
 
jibu la kitamaduni linasema utampa madhara mtoto wako mchanga ................kwa hiyo hapo Do at your own risk :smile:
 
Simpo....nunua sabuni (specially mbuni).....ingia gesti....infidelise....jiswafi....rudi home.....anza tena mwanzo kesho yake
 
Teamo!

Siku hizi una mambo!! Naona si muda murefu tutapata mtaalamu wa ushauri nasaha. Labda tusikilize wazoefu nao watuleze!

Ila kwa upande wangu baada kujipatia msosi (equivalent to >7km distance) siwezi kudisturb usingizi wangu kwa kwenda bafuni hata ulete FFU! Hata hivyo watoto wapo na wanadunda. Na wala hawajawahi kupata infections za hovyo. Ninavyojua, kama ilibidi kuandaa maziwa ya mtoto usiku basi mwandaaji (mimi au wife) aliosha mikono vizuri. Ila kama mama ananyonyesha hakuna hata muda wa kuosha mikono.

Hata hivyo wale wanaokwenda kusomba mizoga huko nje basi wajitahidi kunawa vizuri (siyo lazima kuoga kabisa, passport size inatosha) ili wasilete uchafu na harufu home. Ila mambo ya baba na mama huwa hayana harufu, kwa sababu yamebarikiwa na God!
 
Binamu kwa hisani ya Dabuluu sijui DABILIYUUwatengenezaji wa bia safi ya Kibuku kila navyosoma nashindwa nicomment nini hapa
 
Back
Top Bottom