Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 176
Homu boi jamaa wanataka ligi tu za mchangani.....wanajua exactly unataka kusema nini hapa........!
Dr gani huyu anayeleta maada za ki-layman kiasi hiki? Halafu na kuugua mtoto zina uhusiano gani? Badala ya kuwashauri waache infidelity unatafuta angle ya kujustify uchafu huu!hahahahah!
jamani mbona mmekuwa wagumu kuelewa....!
mimi ni daktari wa binadamu na ni bingwa wa magonjwa ya watoto
simpo....nunua sabuni (specially mbuni).....ingia gesti....infidelise....jiswafi....rudi home.....anza tena mwanzo kesho yake
jibu la kitamaduni linasema utampa madhara mtoto wako mchanga ................kwa hiyo hapo Do at your own risk :smile:
Binamu kwa hisani ya Dabuluu sijui DABILIYUUwatengenezaji wa bia safi ya Kibuku kila navyosoma nashindwa nicomment nini hapa
Hapa kuna mtu anakuchanganya Teamo yaani weye napiga picha haiji kabisa ..
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
mi sijawahi sasa na hii sio mara ya kwanza
teamo aje atupe hakikisho lisilo na chembe ya mashaka hapa!
teamo kaboogie kwenye hili .......................ushahidi ni wa kimaduni na chembe za mashaka zimejitokeza baada ya watamaduni wengine kutilia shaka :hippie:
Kaizer naona hapa umeongea kwa ishara senkyuu
Mh! uchafu ni uchafu tu uwe wa baba/mama mwenye mtoto au hawala.:doh:Gaijin anachomaanisha Teamo ni wale wanaotoka nje ya ndoa zao kwa mke na mume haina madhara kabisa kwa mtoto, muelewe anachommanisha.
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......
lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga
2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!
wakuu,
hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!
noted!
umenifurahisha sana lakini umeongea UKWELI
sasa basi:
1-swala la watu kuzini/kutozini tumwachie askofu
2-mimi concern yangu ni yule mtoto mdogo ambae unakuja unamnukia na miharufu ya ajabu ajabu!kuna hili swala limekuja hapa hospitalini kwangu MICO-DISPENSARY kwamba jamaa kila akirudi jioni akimbeba mtoto analia sana,na anapata homa za usiku,na anaharisha smtmz.baadae ilinibidi kukaa na mzaqzi mmoja mmoja na kuwahoji...!nilikuja kugundua kitu cha ajabu sana kwa mwanaume........
Teamo!
Siku hizi una mambo!! Naona si muda murefu tutapata mtaalamu wa ushauri nasaha. Labda tusikilize wazoefu nao watuleze!
Ila kwa upande wangu baada kujipatia msosi (equivalent to >7km distance) siwezi kudisturb usingizi wangu kwa kwenda bafuni hata ulete FFU! Hata hivyo watoto wapo na wanadunda. Na wala hawajawahi kupata infections za hovyo. Ninavyojua, kama ilibidi kuandaa maziwa ya mtoto usiku basi mwandaaji (mimi au wife) aliosha mikono vizuri. Ila kama mama ananyonyesha hakuna hata muda wa kuosha mikono.
Hata hivyo wale wanaokwenda kusomba mizoga huko nje basi wajitahidi kunawa vizuri (siyo lazima kuoga kabisa, passport size inatosha) ili wasilete uchafu na harufu home. Ila mambo ya baba na mama huwa hayana harufu, kwa sababu yamebarikiwa na God!
Nipo mwanachama mwenzangu wa tiba.....angalia hapaile aspirin ipo au iko out of stock ? ishauzwa yote
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......
lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga
2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!
wakuu,
hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!