Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Aug 4, 2010.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
  lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......

  lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
  1-bila kuoga
  2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!

  wakuu,
  hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hapo mtoto mchanga ni wa mpaka siku ngapi?


  na jee kama katoka kufanya tendo na mkewe ............asimbebe mtoto wake kama analia kwa kuwa amefanya ile kitu? na mama jee? aoge saa zote ndo abebe mtoto?
   
 3. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Kitendo tu cha kuoga mara moja kutwa ni uchafu smembuse ukiwa umepitia kona..........
   
 4. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ushapata cases za mtoto kuumwa sababu alishikwa na babake aliyetoka guest nini?

  mnh Teamo wa leo,i doubt kama hajaja na mahangover?:tape:
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
  kuna infant 0-2 yrschildren 2-12yupi kati yao
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,760
  Trophy Points: 280
  mkuu umeongelea guest tukuna mabasi tunapanda watu wanajmba kuanzia moroco mpaka mwenge tunaishia kushuka na harufu ya pekee na hili utatusaidiaje tuoge kwanza ama??maana kuna fvitoto vyetu vingine ukiwa getini vinakukimbilia kama nini aa na wewe unavikwepa huku unarudi kinyume nyume mpaka ****** ...anyway ahsante kwa angalizoila nahisi hii aisaidii sana naomba uwashauri waachane na uzinzi wewe uliezini ukaoga na yule ajaoga wote kaa la moto linawasubiri badala ya kukimbilia maji safisha dhambi zako kwanza
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Teamo!
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahahahah!
  jamani mbona mmekuwa wagumu kuelewa....!
  mimi ni daktari wa binadamu na ni bingwa wa magonjwa ya watoto
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe ndio maana taifa limekuwa na mayatima wengi.
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAHAHAHA!
  we kiongozi wewe
   
 11. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Analosema Teamo ni kweli jamani teh teh! hasa kwa watoto wachanga
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  waeleze mama!.....wape dooz
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  siwezi kuwa nimemaliza staarehe na baba watoto ..........mtoto akalia tusimbebe kwa kuwa hatujaoga! hiyo scientifically not proven kuwa ina madhara.

  kusema mtu ujitahidi usiwe na vumbi au bacteria na virus kabla ya kumbebe mtoto nakubali sana, ila kwenda speciafically kwenye tendo la ndoa, ambalo ni tendo safi, nakataa
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  wee mama weweeeeeeee!
  mbona unabishana na facts
   
 15. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Kumekucha
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  facts zipi?
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  na makucha yake!
   
 18. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Samson hapo umenena
   
 19. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gaijin anachomaanisha Teamo ni wale wanaotoka nje ya ndoa zao kwa mke na mume haina madhara kabisa kwa mtoto, muelewe anachommanisha.
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  noted!
  umenifurahisha sana lakini umeongea UKWELI

  sasa basi:
  1-swala la watu kuzini/kutozini tumwachie askofu
  2-mimi concern yangu ni yule mtoto mdogo ambae unakuja unamnukia na miharufu ya ajabu ajabu!kuna hili swala limekuja hapa hospitalini kwangu MICO-DISPENSARY kwamba jamaa kila akirudi jioni akimbeba mtoto analia sana,na anapata homa za usiku,na anaharisha smtmz.baadae ilinibidi kukaa na mzaqzi mmoja mmoja na kuwahoji...!nilikuja kugundua kitu cha ajabu sana kwa mwanaume........
   
Loading...