Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

actually naelekea home sasa kuna dharura hakuna muda wa kujiswafi sijui ndo 'nimeshaharibu'!? LOL

Jibu la 'kitamaduni' tafadhali!

jibu la kitamaduni linasema utampa madhara mtoto wako mchanga ................kwa hiyo hapo Do at your own risk :smile:
Nimesikia mabibi wakisema kuwa ukitembea nje ukaja kubeba kitoto kichanga kitaugua magonjwa ya ajabu ajabu mfano magonjwa ya ngozi. Binafsi nadhani walikuwa wakijaribu kukemea infidelity hasa katika kipindi ambacho wife anakuhitaji sana uwepo karibu kumsaidia malezi ya hicho kichanga chenu.
 
watu wabishi kama wamechanjia....!
 
........Dark City umenichekesha sana hapo kwenye nyekundu.........inaelekea ukimaliza libeneke tu ni hoi na kukoroma juu yake :roll:Eti hata wakuletee FFU na mtutu wake wewe kuoga ni NO.

Pretty,

Kwani huo uchafu wanaotaka kutueleza wewe unaujuaje? Mimi kwa kweli siujui na hata baiolojia yangu imepigwa mweleka. Naona hilo pendekezo la mdau halitakelezeki walau kwa upande wangu. Ndo maana kila siku nasema kuwa kila nyumba ni Taifa la Mungu linalojitegemea. Ni ngumu ku-copy na ku-paste. Watu wenyewe wanakula hivyo vitu halafu leo wanasema ni uchafu wa kuogopa kama ukoma. Kwa hiyo tunahurumia miili yetu au mazingira? Ila niwe mkweli, hayo mambo yakifanyika nje ni uchafu ten wenye harufu zaidi ya ile ya soko la ferry, jirani na Ikulu!!
 
Huwa inakuwaga hivi:

Umetoka gesti emepigana mibusu na lijitu limetoka kunywa chang'aa. Umenyonja maziwa ya jitu lenye aleji ya kuoga. Umenyonya kikojoleo cha lijitu lenye uhusiano na mende. Unafanya infidelity unamaliza. Unawahi home hujaoga. Unakadaka kamatesha kako unakachum..... yale mauchafu yote unayahamishia kwa kachanga kako. Kuna usalama hapo?

Halafu mnataka scientific proof gani zaidi ya hii?:bored::bored:
 
Ni tofauti na waifu kabisa. Huyu waifu ndio huyo huyo anayembusu matesha wake kila siku. ndiye anayemwogesha, anayemnyonyesha, anayemlisha na vikorombwezo vyote. Sasa huyu mkimegana, mnakuwa mnatenda tendo takatifu. Yaani kwa baraka zote unaweza kutenda tendo la ndoa na mke/mume wako, usioge na ukaenda kukakumbatia kamatesha kako. Hapo hakuna tatizo kabisa. Nyie ni mwili mmoja na kamatesha kenu ni sehemu ya mwili wenu.

Hoja ya Teamo iko straight kabisa, kwamba mkifanya infidelity hakikisheni mnaoga ndio mrudi nyumbani kuvichumu vimatesha vyenu.

Kuna swali? Mi nnalo Hivi JF hakuna chat room tena?, tunamisi sehemu za kutafutia infidelizesheni lol:help::help:
 
Huwa inakuwaga hivi:

Umetoka gesti emepigana mibusu na lijitu limetoka kunywa chang'aa. Umenyonja maziwa ya jitu lenye aleji ya kuoga. Umenyonya kikojoleo cha lijitu lenye uhusiano na mende. Unafanya infidelity unamaliza. Unawahi home hujaoga. Unakadaka kamatesha kako unakachum..... yale mauchafu yote unayahamishia kwa kachanga kako. Kuna usalama hapo?

Halafu mnataka scientific proof gani zaidi ya hii?:bored::bored:
Mmegoma kunigongea? Najigongea mwenyewe sasa, malabuku!

The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:

Asprin (Today) ​
 
Huwa inakuwaga hivi:

Umetoka gesti emepigana mibusu na lijitu limetoka kunywa chang'aa. Umenyonja maziwa ya jitu lenye aleji ya kuoga. Umenyonya kikojoleo cha lijitu lenye uhusiano na mende. Unafanya infidelity unamaliza. Unawahi home hujaoga. Unakadaka kamatesha kako unakachum..... yale mauchafu yote unayahamishia kwa kachanga kako. Kuna usalama hapo?

Halafu mnataka scientific proof gani zaidi ya hii?:bored::bored:
ha ha ha ha!......
MILELE AMINA!
 
Asprin utanisaidia kumwelewesha gaijin!
 
Sasa sisi tunao megea kwenye nyasi na kwenye mapagale sijui utaogea wapi jamani!
Naona umesahau kuwa hii sredi inatuhusu sisi wenye ndoa takatifu..

Kwa nyie makapera hata mkimegana makaburini, haijalishi.:nod::nod:
 
hahaha hommie kwa hiyo kapera ruksa kushika mtoto hata kama katoka makaburini? maana ukapera haina maana kua huna mtoto au ??:hippie:
 
Pretty,

Kwani huo uchafu wanaotaka kutueleza wewe unaujuaje? Mimi kwa kweli siujui na hata baiolojia yangu imepigwa mweleka. Naona hilo pendekezo la mdau halitakelezeki walau kwa upande wangu. Ndo maana kila siku nasema kuwa kila nyumba ni Taifa la Mungu linalojitegemea. Ni ngumu ku-copy na ku-paste. Watu wenyewe wanakula hivyo vitu halafu leo wanasema ni uchafu wa kuogopa kama ukoma. Kwa hiyo tunahurumia miili yetu au mazingira? Ila niwe mkweli, hayo mambo yakifanyika nje ni uchafu ten wenye harufu zaidi ya ile ya soko la ferry, jirani na Ikulu!!
ha ha ha ha!
mkuu naona umeifanya mada ngumu zaidi
 
hahaha hommie kwa hiyo kapera ruksa kushika mtoto hata kama katoka makaburini? maana ukapera haina maana kua huna mtoto au ??:hippie:
hehehe!
kiongozi ikitokea kwamba unakaa na mwanamke BILA NDOA katika mazingira zungumzwa hapo juu INAIMPLAI MARRIAGE
 
Kwa hiyo ishu ni kukaa?? kama umeenda kusalimia kachanga kako ila wewe hukai hapo?? Nawaza tu kiongozi
 
Huwa inakuwaga hivi:

Umetoka gesti emepigana mibusu na lijitu limetoka kunywa chang'aa. Umenyonja maziwa ya jitu lenye aleji ya kuoga. Umenyonya kikojoleo cha lijitu lenye uhusiano na mende. Unafanya infidelity unamaliza. Unawahi home hujaoga. Unakadaka kamatesha kako unakachum..... yale mauchafu yote unayahamishia kwa kachanga kako. Kuna usalama hapo?

Halafu mnataka scientific proof gani zaidi ya hii?:bored::bored:

Mh... Hapa naona wewe acetyl salicylic Acid umeipika kinyama aisee... YOU DIDNT EVEN MINCE A WORD!!!

Kweeli inatia kinyaa aisee

Thanks for saying it like it is!!!
 
Kwa hiyo ishu ni kukaa?? kama umeenda kusalimia kachanga kako ila wewe hukai hapo?? Nawaza tu kiongozi
hehehe!unawaza sio?
hahahahahahahahaha

kwa hiyo kabla ya kwenda kukacheki kachanga UNAPASHA KIAINA!:typing::typing:
 
Mh... Hapa naona wewe acetyl salicylic Acid umeipika kinyama aisee... YOU DIDNT EVEN MINCE A WORD!!!

Kweeli inatia kinyaa aisee

Thanks for saying it like it is!!!
MUTU YA RED-LABEL!.........
leo chamber vipi?
 
hehehe!unawaza sio?
hahahahahahahahaha

kwa hiyo kabla ya kwenda kukacheki kachanga UNAPASHA KIAINA!:typing::typing:
hahah si unajua between A and B anything can happened!! Nijibu basi hommie hapo itakuaje? inaaply?:A S 2152:
 
hehehehe!hapo sidhani mkuu.......
 
Back
Top Bottom