Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Gaijin anachomaanisha Teamo ni wale wanaotoka nje ya ndoa zao kwa mke na mume haina madhara kabisa kwa mtoto, muelewe anachommanisha.
mama brian .................nafikiri wewe ndo hujamuelewa. anachomaanisha ni kuwa ukitoka nje ya ndoa ukafanya tendo na mtu guest .....ukirudi nyumbani usimbebe mtoto mchanga kama hujaoga kwa kuwa ina madhara.
hapo ndio nnapotaka kujua mie, ina uhusiano gani na kufanya tendo la ndoa NJE na mtoto kuugua? jee kama tendo hilo limefanywa ndani ya ndoa, tendo halali, lakini ma bedsheat machafu kama ya guest house, mtoto abebwe?