mpwa si wote wana harufu wengine tunawaogopa hata kutukumbatia maana wana harufu nzuri in such ukifika home ukakutana na wakina mama faith wallah anakukumbatia kwanza kujuua umerudi na isemiaki ama hope
samahani kidogo kwa kutumia lugha kali............
lakini naomba tuelezane ''ukweli''.hoja ya kwamba infidelity is there to stay NAIKUBALI SANA......
lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga
2-unarudi nyumbani fasta halafu unalazimisha au unapewa mtoto mchanga um-bebe!
wakuu,
hii kitu naomba tuiavoid sana maanake WATOTO WANAIMMUNITIES AMBAZO ZIPO CHINI SANA!ile harufu tu ya mashuka ya gest,harufu ya ile habari,na harufu ya ile nyingine ile vyote ni TATIZO KUBWA SANA KWA WATOTO WETU WACHANGA!
lakini kuna hili swala la mwanaume kutoka ''guest-house'':
1-bila kuoga!
hehehe noname bana! hiyo sentensi rangi ya damu imenisimamisha mishipa ya damu kweli. acha nipekue contact list ya fone yangu kidogo niangalie nani yupo karibuTeamo infedelity ndio uchafu...umenisikia? huwezi kudumbukiza kwa huyo wa nje halafu ukaja kudumbukiza kwa mke wako..sio usafi kabisa...... :nono:
hahahahaha!Hapa watu wanaogopa zile sabuni Ayu ukiogea hii baba unanukia mpaka kesho yake sijui ukirudi unanukia hiyo utamwambia nn? Mzee wangu Ponjoro huwa anajipaka petrol akisha oga tu akirudi homu libeneke kama kawa.
kwa hiyo wafanye infedelity lakini waoge.....
we bana theori mingi sana!no name ......................mwambie teamo kuwa hata aoge mara saba wa sabiini, uchafu uko pale pale kama atatoka nje ya ndoa yake.
(kidini na kimaadili)
science ndio haibagui.....................kama madhara kwa mtoto ni akifanya tendo ndani ya ndoa au nje.............na hili teamo anashindwa kuli prove anazungumzia pesa hewa za serikali :smile:
no name ......................mwambie teamo kuwa hata aoge mara saba wa sabiini, uchafu uko pale pale kama atatoka nje ya ndoa yake.
(kidini na kimaadili)
science ndio haibagui.....................kama madhara kwa mtoto ni akifanya tendo ndani ya ndoa au nje.............na hili teamo anashindwa kuli prove anazungumzia pesa hewa za serikali :smile:
mkuu usiwe sirias sana mkuu............!1 wakorintho 6:9au hamjui ya kuwa wadhalimu awataurithi ufalme wa mungu...msidanganyike waasherati hawataurithi ufalme wa mungu wala waabuduo sanamu wala wazinzi wala wafiraji wala walawiti wala walevi wala watukanaji wala wanyanganyi;lakini mwili si kwa zinaa bali ni kwa bwana naye bwana ni mwili;je amjui ya kwamba viungo vyenu ni vya kristo na kwa nini mnavifanya viungo vya ukahabaver ;;je amjui alieungwa na kahaba ni kahaba maana mmesema wale wawili mtakuwa mwili mmoj;;ikimbieni zinaa kila dhambi aitendayomwanadamu ni nje ya mwili wake;ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe..au amjui yakuwamwili wenu ni hekalu la roho mtakatifu???mlieewa na mungu??na wala si mali yenu??maana mlinunuliwa kwa thamani basi mtukuzeni mungu ktika miili yenumungu ibariki jf
we bana theori mingi sana!
Sisi tunaoongea hapa tumoa tuna watoto wachanga na tunajua madhara yake!
Wataalamu wanalithibitisha hilo
we uko siriaz mno!akuna mtaalamu aliekuja kuthibitisha hilo achilia wewe mwenyewe umeshindwa teamoswala ni watu waachane na uzinzi bas ukizini ni uchafu aijalishi umekoja ama umeshindwa ku***so unajua tunachoshindwa waatanzania ukitaka mtu asipate malaria sio tu anunue chandarua ataitumiaje hiyo chandaru tafuta srce;;na src ya harufu ni uzinzi wacha uzinzi basii...
no name ......................mwambie teamo kuwa hata aoge mara saba wa sabiini, uchafu uko pale pale kama atatoka nje ya ndoa yake.
(kidini na kimaadili):
we uko siriaz mno!
hamia jukwaa la siasa bwana
mwambiw na gaijin muhamie kule kwenye siasa
we uko siriaz mno!
hamia jukwaa la siasa bwana
mwambiw na gaijin muhamie kule kwenye siasa