Wanaume: hii ni tabia mbaya, na ni uchafu!

Kweli kabisa ikimbieni zinaa kama anavyosema Teamo. Zinaa ni laana ukitoka kufanya zinaa then ukambeba mtoto mdogo bila kujisafisha inamuathiri sana kama kupata homa za ovyo ovyo,kuharisha na vitu kama hivyo. Na ndio kuna hii habari ya kubemmenda mtoto pia inasababishwa na zinaa hususani kwa mwanamke akitoka kuzini alafu anamnyonyesha mtoto. Ila kwa mke na mume kwa tendo takatifu haina madhara ila binafsi tukifanya ndoa na mama yoyooo kabla hajamkumbatia mtoto wetu lazima aende bafuni kwanza, hata mie sijisikii vizuri kulala bila usafi japo kidogo baada ya tendo.
 
Back
Top Bottom