ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,297
- 31,706
Refer UchebeUnampiga sababu unamlisha hakuna lingine ,ndo maana huezi ona akina malioo wakiwapiga wake zao,huezi kumpiga,anaekulisha ,
Refer UchebeUnampiga sababu unamlisha hakuna lingine ,ndo maana huezi ona akina malioo wakiwapiga wake zao,huezi kumpiga,anaekulisha ,
Kuna wengine wamelelewa kikamanda lakini nao wamekuwa wahuni hawafai kwenye jamiiHaha...cha ajabu nilikuwa nikidhani naonewa kumbe nilikuwa nafundishwa njia sahihi kabisa kimaadili.
Leo hii ule mtaa mitoto iliyokuwa ikilelewa kimayai ni miteja, mijambazi na mingine imeishia kunywa gongo na sura zao ni choka mbaya sana.
Namshukuru sana Baba mzazi kwa kunilea kibaba baba japo wapo wengine walionyoka kwa tabia njema ambapo kwa enzi hizo Baba zao walikuwa wakitafsirika wakoloni kwa sababu ya kutembeza bakora kwa watoto wao.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Wana matumizi mabaya ya nguvu zao.
Badala mwanaume atumie kupambana kwenye ngumi za kulipwa,eti anagombana na mtu ambaye anajua kabisa atamshinda.
Mimi huwa nasema kila siku kwamba ukijiona una nguvu nenda kafuane na akina John Cenna na Undertaker huko kwenye mieleka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni bondia?Ni mwendo wa makofi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Maamuzi ni yako, although sijaandika wang'ang'anie, kila mtu ana mustakabali wa maisha yake japo maandiko hayapindishi dhambi kuwa sufi!.Sas unataka wang'ang'anie wafe...
Hatujaolewa ili tunyanyasike...tumeolewa kusaidiana....Maamuzi ni yako, although sijaandika wang'ang'anie, kila mtu ana mustakabali wa maisha yake japo maandiko hayapindishi dhambi kuwa sufi!.
Kisangani CongoKwa Msisiri
Yani unamjua hadi Undertaker? AiseeWana matumizi mabaya ya nguvu zao.
Badala mwanaume atumie kupambana kwenye ngumi za kulipwa,eti anagombana na mtu ambaye anajua kabisa atamshinda.
Mimi huwa nasema kila siku kwamba ukijiona una nguvu nenda kafuane na akina John Cenna na Undertaker huko kwenye mieleka.
Ulioa ukiwa na miaka mingapi mkuu?Nina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamke
Hadi Batista,Big show,Tripple H ,Land Oton,mzee wa Mateke JeffHard(spelling sijui) bila kumsahau yule handsome boy mfupi Reymysterio.Yani unamjua hadi Undertaker? Aisee
Kuna kale kakichapo ambacho akikaa huwa anakukumbushia yaani ana kamiss , si unapiga kama unauwa chatu.Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Kuna kale kakichapo ambacho akikaa huwa anakukumbushia yaani ana kamiss , si unapiga kama unauwa chatu.
Unatia tu vibao viwili vitatu siku moja moja ili msizoeane sanaaa, akakuona shangazi yake.
N.b
Sijasema muwapige wanawake , kipigo kizuri ni kipo sehemu tatu
1).Unamchapa na bulungutu la pesa misimbazi misimbazi kama 50 hivi.
2).Unamchapa bed ile haswa .
3).unamchapa na zawadi za suprize .
Hii inawahusu wanandoa tu.
Maandiko gani yanasema hivyo shost..?😁Hatujaolewa ili tunyanyasike...tumeolewa kusaidiana....
Ukiona huwez sepa kiroho safi
Na wewe ni maandiko gani yanasema mtufujeMaandiko gani yanasema hivyo shost..?😁
kupiga mwanamke sio kitu kizuri.ila kupiga mwanamke inawezekana kabisaHabari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Majibu tafadhali
Sijakuelewa vizuri. Let us say una mke. (hiki ni kisa cha kweli kimemtokea jamaa). Yule mwanamke ana mtoto wa miezi 6 na umerudi nyumbani, wakati wa sikukuu, kutoka safarini ukakuta ameenda night club na mtoto yuko na house girl analia. Aliporudi ukamuuliza kwa nini amefanya hivyo yeye akajibu ''hebu ondoa useng* wako hapa, huoni leo ni sikukuu? Hutaki nifurahi?'' Kwa mujibu wa sentensi yako ya mwisho, hapo utaonyeshaje hujali?hawa viumbe silaha yao namba moja ni kubwabwaja.
ukiishaona anambwambwaja,shime.usithubutu kumgusa,kama unaweza ondoka eneo hilo ni vyema.
kanywe,kama una demu kaoshe rungu,huwezi kashinde hata kijiweni na wana.
kwa kutofanya hivyo utamgusa tu,kama kafundwa basi una bahati atanyamaza.kama hajafundwa lazima avimbe na kuanza kirusha matusi makubwa zaidi,nawewe utaona ni bora umzime ngebe,badala yake utamzima mazima au kumjeruhi vibaya sana kisha utakwenda jela,ndio bro utakwenda jela.
ukiona mwanamke mjuaji sana,wewe muonyeshe kwamba hujali wala nini.
acha maisha yaendelee.unafikiri ukinyanyua mkono kwa mwanamke anayekutamkia neno(msxnge)litafata neno gani kutoka kinywani mwake!!!!!Sijakuelewa vizuri. Let us say una mke. (hiki ni kisa cha kweli kimemtokea jamaa). Yule mwanamke ana mtoto wa miezi 6 na umerudi nyumbani, wakati wa sikukuu, kutoka safarini ukakuta ameenda night club na mtoto yuko na house girl analia. Aliporudi ukamuuliza kwa nini amefanya hivyo yeye akajibu ''hebu ondoa useng* wako hapa, huoni leo ni sikukuu? Hutaki nifurahi?'' Kwa mujibu wa sentensi yako ya mwisho, hapo utaonyeshaje hujali?