Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Mijanamke gube gube itaenda kituoni na hizo nguo zilizojaa damu mandata watakuja kukubeba msobemsobe hadi shimo la tewa huko utakaaa weeee huku hao mandata waliokuweka ndani ndio watakuwa wanamnyandua huo mlupo wako

Hapo ndio utajua methali za kila aina kuwa dunia hadaa.....na Mambo mengi yanayofanana na hayo
Mkuu hapa sijakisoma vyema.

Unaogopa kwenda shimo la tewa au mke kunyanduliwa na police?

Na kwa nini uoe gube gube mkuu,mke kunyanduliwa sio mpaka uwe cell,hivi mkeo mmekwaruzana akakuchapa kofi paa Vipi utamgeuzia shavu la pili au utakimbilia dawati la jinsia kushitaki?.
 
Hahahah hao wazazi unaowasifia wenyewe tulionaga wakisambaza makofi tukahisi pengine wanaonea akina mama zetu! Kumbe dunia duara bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha kuna siku nilikunjaga kipande cha noti ya 200 nikanunua mahali vitumbua 20 nikavila kisha kurudi home.

Mshua alikuwa kashaletewa taarifa na niliyemfanyia ule ushenzi, nilikula mbata za kutosha sana toka kwa Mshua.

Mama mzazi alijisogeza mbele ya Mshua kunitetea nisiendelee kula kichapo, ayseee...! alipigwa vibaya sana hadi nilisahau machungu ya kipigo changu nikaanza kumlilia mama kwa huruma.

Japo Mama ni mpole sana lakini nilipokuwa mkubwa nilijua kwanini Mshua alimshushia kipigo Mama mzazi na kuwa na hekima si upole pekee.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Maza aliingilia mchakato wa Amiri jeshi mkuu
 
Haha hahaaaaa...JF raha sana Chifu, mtu atakuwekea kila aina ya sifa na vigezo kama vile Elimu dunia"Diploma/Degree, Utajiri/majumba magari au kampuni hewa, biashara feki kama wale wazee wa forex ili kujitetea kwa ID zetu bandia sababu hatujuani kumbe ni upuuzi mtupu.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hahahah kumbe ni muhuni tu anachoma mahindi mahali
 
Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?

Majibu tafadhali
Kuna wanawake wanakera sana midomo juu juu km panya. Ndio maana huishia kupigwa japo kipigo si jambo jema.
 
Hivi mkuu unafahamu midomo yetu wanawake ilivo na maneno ya kukera sometimes wewe? Si vizuri kupigana ila sometimes inaboa pale unamwambia mtu juu ya jambo fulani na hasikii afu ana kimdomoo , inaleta hasira na vile wanaume huwa si waongeaji sana, anakuvumilia ila likimfika kooni ni lazima ule makonzi japo kidogo kurestore akili.

NB: wanaume na nyie msipige sana hadi kuumizana na kuuwana hizo hasira gani bana🤫😏
 
Omba tu upate mwanamke mstaarabu.

Ukipata mwenye "nyodo" na matusi.....utapiga tu. Kwa mfano, anakutukana wewe, wazazi wako na ukoo mzima...mbele ya wanao na majirani wanasikia......halafu anakusogelea karibu anakwambia "kama mwanaume kweli niguse (nipige) uone!" Hujaachia "kelbu" hapo?

Binafsi sijawahi kupiga mwanamke na kwa mke niliye naye na kwa muda tulioishi, sitegemei tutapigana! Ila kwa kweli huwa naelewa ni kwa nini baadhi ya wanaume wanapiga wanawake zao/wanawake wanapigwa na waume zao. Mara nyingi "mdomo" unawaponza.
 
Kuna wanaume wakorofi Yan wao kila kitu n lazima yeye huyu hata aoe mwanamke msikivu kiasi gani lazima make apigwe sema usikivu ndo utasababisha asipigwe sana.

Kuna mwanaume mpole yeye hukimbiza mwizi wake kimya kimya siku ukijaa kwenye 18 zake mwanamke lazima ujute kwa kichapo.

Kuna mwanaume mjinga huyu huchezewa akili na mwanamke nakuomba kila kitu mwanamke yupo sawa Hawa ndo wale wanapika mkewe kaenda kwenye vikoba.

Heshima ya mwanamke n kupigwa na mmewe Ila mwanamke mwenyewe ndio anaamua apigwe au asipigwe usikivu na kuheshimu mme ndo kitu pekee mwanamke ndio kitamuokoa asile kichapo
 
Maza aliingilia mchakato wa Amiri jeshi mkuu
Haha...cha ajabu nilikuwa nikidhani naonewa kumbe nilikuwa nafundishwa njia sahihi kabisa kimaadili.

Leo hii ule mtaa mitoto iliyokuwa ikilelewa kimayai ni miteja, mijambazi na mingine imeishia kunywa gongo na sura zao ni choka mbaya sana.

Namshukuru sana Baba mzazi kwa kunilea kibaba baba japo wapo wengine walionyoka kwa tabia njema ambapo kwa enzi hizo Baba zao walikuwa wakitafsirika wakoloni kwa sababu ya kutembeza bakora kwa watoto wao.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mkuu unafahamu midomo yetu wanawake ilivo na maneno ya kukera sometimes wewe? Si vizuri kupigana ila sometimes inaboa pale unamwambia mtu juu ya jambo fulani na hasikii afu ana kimdomoo , inaleta hasira na vile wanaume huwa si waongeaji sana, anakuvumilia ila likimfika kooni ni lazima ule makonzi japo kidogo kurestore akili.

NB: wanaume na nyie msipige sana hadi kuumizana na kuuwana hizo hasira gani bana[emoji2958][emoji57]
Extrovert wahi huku kuna Ke mmoja aliyenusurika ktk vita vya maji maji anayeelewa kuwa kipigo huwa kinawajenga vizuri upya kiakili[emoji12][emoji3526]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom