BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,990
Ikiwa umeoa mke mwenye hekima basi ni jambo la kumshukuru sana Mwenyezi. Sikubaliani na kupiga mwanamke na mimi sijawahi ila sijui huko mbeleni ila naomba sana isije ikatokea nikampiga nitakayemuoa.
Faza kuna wanawake wana midomo bana eeeh!?
Faza kuna wanawake wana midomo bana eeeh!?