Karibu wanaume tujifunze haya machache

abeli tz

New Member
Nov 30, 2020
4
14
SIKU YA LEO NAPENDA TUJIFUNZE KAMA NILIVYOAHIDI JANA JUU YA MAGONJWA mbalimbali NA MICHEPUKO

Hili ni tatizo kubwa sana na linachangia karibia kwa asilimia 50 ongezeko la hawa wanaume au wanawake wan je,leo nitazungumzia matatizo makuu mawili nayo ni;

A.kupoteza nguvu za kiume kwa wanaume

B.kupoteza hisia za mapenzi kwa wanawake

Nitaanza kuelezea moja baada ya jingine na suruhu yake

A.MATATIZO YA KUPOTEZA NGUVU ZA KIME/WANAUME

Tatizo hili limekuwa kubwa sana na inakadiliwa asilimia 75 ya wanaume wote waliopo nchini wanatatizo hili,hali hii imepelekea wanawake wengi sana kushindwa kuvumilia hali hii na kuamua kuwa na wanaume wengine nje ili kukidhi haja zao,na wale wanaobaki kuvumilia hukutana na matatizo ya kisaikolojia ikiwa ni pamoja na ukali bila sababu,kupoteza kumbukumbu,kuumwa viuno na migongo,kama inavyoeleweka kwamba mwanamke asipolidhishwa ni tatizo kwani ili kuepukana na hayo lazima mwanamke alidhishwe na asilimia karibia 80 ya wanawake wa sasa hawafikishwi kileleni ,hii ni hatari kwani hali hii imepoteza furaha za wanawake wengi na waliowengi sana utakutana nao wakiwa wanaongea peke yao,hebu nikomee hapo na nijikite kwenye sababu zinazopelekea tatizo hili,zipo sababu nyingi sana ,na baadhi ya sababu hizo ni zifuatazo;

A.ulevi na matumizi ya pombe kali sana

B.msongo wa mawazo unaotokana na hali ya maisha

C.Magonjwa mbalimbali ya zinaa na kulithi

D.Kujichua au punyeto

E.ulaji au lishe

F.tatizo la kuzaliwa akiwa hivo

Baada ya kuyataja matatizo hayo natamani nifafanue moja baada ya jingine,kama ifuatavyo;

A.ulevi na matumizi ya pombe kali,

Asilimia kubwa sana ya wanaume wa sasa ni wanywaji wa pombe kali kama konyagi,roboti,nk na pia matumizi ya madawa ya kulevya na uvutaji sigara uliopindukia,hali hii imepelekea wanaume wengi kupoteza kabisa nguvu za kiume ,na wake zao kushindwa kuvumilia hali hii na kuamua kuwa na wanaume wengine nje jambo ambalo ni hatari kiafya na kiuchumi.

B.Msongo wa mawazo utokanao na hali ya maisha

Kwawakati mwingine kupoteza nguvu za kiume kwaweza tokana na msongo wa mawazo unaotokana na ugumu wa maisha kwa masikini na msongo wa mawazo unaotokana na shughuli nyingi kwa matajili na ndiyo maana matajili wengi wake zao huwa na vijana wadogo hata ambao hawastahili kuwa nao mfano wafanya kazi wao,kama tujuavyo kwamba injini ya mtambo chini ni akili au kichwa kwa hiyo injini ikiwa na mambo mengi au mawazo mengi basi tutegemee kukosekana kwa ufanisi wa mashine,wapo watu wanaoingia kitandani wakiwa wamewabeba watu waliowakwaza ,waliowadhurumu,na hesabu za miradi yao,hali ambayo huwapotezea hamu ya tendon a kujikuta wanaambulia bao moja tuu tena nalo kwa dakika mbili au tatu,na sidhani kama kwa muda huu mwanamke atakuwa kalidhika au kafika kileleni.



C.Magonjwa mbalimbali ya zinaa na kulithi

Pia yapo magonjwa mbalimbali yanayopelekea wanaume kupoteza nguvu za kiume ikiwa ni pamoja na y ale ya kulithi kama kisukali,sickle cell anaemia ,kifafa,magnjwa hayo ya kulithi hupelekea upotevu mkubwa sana wa nguvu za kiume kwa wanaume,wakati mwingine kisukali chaweza kupelekewa na unywaji wa pombe kupindukia na ulaji wa vyakula vyenye sukali sana nk,pia yapo magonjwa ya zinaa kama kaswende,kisonono nk,ambayoa mtu akiumwa bila kutibiwa hupelekea upungufu wa nguvu za kimume na mwanaume kushindwa kumudu tendo,



D.Kujichua au punyeto,kwanza nitangulie kwa kusema urahibu huu unawasumbua wanaume wengi sana na hasa kutokana na matumizi mabaya ya simu ya smartphones,wapo wanaopenda sana kutazama video za xxx,na hujikuta wakiwa wameathirika na tatizo hili na kujikuta wanajichua yaani wanapiga punyeto ,kuna wanaume waliooa ambao huenda mbali zaidi ati mtu anamuacha mkewe ndani na kulekea fichoni kudili na smartphone yaani kufanya mapemzi ya kinadhalia na wazungu wa kike,tatizo hili huathili akili ya mfanyaji na kumfanya aone hakuna njia nyingine ya kujiridhisha kimapenzi zaidi ya punyeto,hali hii inapunguza nguvu za kiume kwa kiasi kikubwa kwani kuna mishipa ambayo ni msingi mkubwa wa uume wa mwanaume hulegea kabisa, na mwanaume kujikuta anapotea kabisa nguvu za kiume.







E.Ulaji au lishe

Vipo baadhi ya vyakula ambavyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi wa mwanaume na vinachangia kwa kiasi kikubwa sana upotevu wa nguvu za kiume ,vingi baadhi ya vyakula hivi ni vile vyenye mafuta mengi sana kama nyama za nguruwe,na mafuta ya wanyama na pia baadhi ya vyakula taka kama chipsi,nk,ulaji wa vyakula visivyo na lishe yoyote kwa muda mrefu kama wali na chipsi au unga wa kulowekwa hupelekea upungufu wa nguvu za kiume,pia vyakula vya kwenye makopo vilivyotengenezwa viwandani na vina kemikali sana.Ikumbukwe kwamba ili uume ufanye kazi vizuri laima damu iwe inapita vizuri kwenye mishipa yake,kuziba au kupungua kipenyo kwa mishipa hii hupelekea upungufu wa nguvu za kiume na kusababisha ndoa nyingi kupoteza uvumilivu kwenye ndoa zao.Ebu tujifunze kwa wasukuma na wamasai wanakulaje?





F.Kuzaliwa akiwa hivo,hii point sitaizungumzia sana kwa ukubwa wake manake mpaka mwanamke anaamua kuolewa nae anakuwa kajua anaolewa na mwanaume wa aina gani,hivyo akiolewa uvumilivu ni jambo la msingi,wapo wanaume wanaozaliwa wakiwa wanaupungufu wa nguvu za kiume au kukosa kabisa kutokana na ukosefu wa umakini wa mama wakati wa ujauzito,ikiwa ni pamoja na kunywa pombe kali wakati wa mimba na kula vyakula vilivyokosa virutubisho,wanaume wa hivi ni wachache sana aweza kuwa mmoja katika kijiji au kata.



G.ukosefu wa maji mwilini na ongezeko la sumu mwilini.jamani mwanaume anaekunywa maji kwa uchache lazima atakuwa tuu na tatizo hili kwani upungufu wa maji hupelekea ongezeko la sumu mwilini na kusababisha athari katika njia ya mkojo ambayo baadae huwa UTI, na UTI hii ikijirudia sana hupelekea upungufu wa nguvu za kiume.siyo hivyo tuu maji hupelekea mzunguko wa damu kuwa mzuri na wenye damu safi sana,hivyo maji yakiwa machache sana basi mambo huwa kinyume chake,jamani tunywe maji sana



HII HAPA NI SURUHU YA KUDUMU YA MATATIZO HAYA

Jamani natamani sana tupunguze au tuondoe kabisa tatizo hili ya ongezeko la michepuko nchini ;ili kutatua tatizo hili ni vizuri tukatumia njia zifuatazo:

1.Wanawake wawe wavumilivu kwani kuna baathi ya matatio hayatibiki kitabibu labda kwa maombi

2.wanaume waachane kabisa na matumizi ya pombe kali na ulevi na pia matumizi ya madawa ya kulevya

3.kuepuka ngono holela au kutumia kondomu inapobidi

4.kuzingatia ulaji wa mlo kamili na kuepuka vyakula vya mafuta

5.walahibu wa punyeto wapiti hatua stahiki ili kuacha zoezi hilo

6.mwanaume ni muhimu kunywa maji mara kwa mara angarau lita tatu kwa siku hadi ukojoe mkojo kama maji.

7.Mwanaume ajifunze kuwa flexible yaani abadilike kulingana na mazingira yaani akiwa kitandani aache masuala yake yote sebuleni

8. Tafuta majibu ya haraka ya maswali yako yote ya maisha yanayopelekea msongo wa mawazo,jamani kulewa siyo suruhu ya stress
 
Sasa kama wanaume asilimia kubwa wana matatizo ya nguvu za kiume. Hao wanaokimbiliwa na wanawake ni wanaume wapi tena?

Utafiti huo umefanywaje fanywaje labda. Hebu tuanzie hapo kwanza
 
Matumizi yasiyo sahihi ya L na R yanasababisha msomaji kuona hali fulani ya ukakasi wakati wa kusoma

Mfano; lidhishwa = ridhishwa

kulithi = kurithi

Pia inanifanya niwe na wasiwasi na ‘utafiti’ wote!
 
Back
Top Bottom