Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Una mke kwanzA????

Mnaishia nae nyumba moja???

Tujibu hapo kwanzA .

All in all inahitaji uvumilivu sana kuishi na mwanamke bila kumpiga ila inawezekana kabisa na mwanamke uliyepata atachangia sana hilo kuwezekana ila usihukumu kitu.
 
Sasa mwanamke kama hakuvimbii ukimpiga si utaonekana mwendawazimu braza [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Ulitakiwa uoe kizazi cha akina shilole hiki matoto ya 1985 mpaka leo ili uone moto wake! We umeoa mwanamke mwenye stara wa miaka ya 60 huko! Hao wa miaka hio ukimlisha tu na kumvisha karidhika wala hawana mambo mengi wao na usafi wa mazingira na kupika. Ukimuweka dukani nje hapo mambo mswano kabisa.

Aiseeee bora umemuelewesha maana anadhani mwanamke wake wa miaka ya 60 ndo wanawake zetu wa 1995..
 
Unaongelea mke/ girlfriend au mwanamke yeyote? Kwa mke au mpenzi ni tatizo, ila kwa mwanamke mwingine yaweza kutokea kutokana na jambo baya alilotenda.

Halafu hiyo Edeni iliwahi kuwepo kweli? Kama haikuwahi kuwepo kwani mpaka leo tumeshindwa kui-locate, basi hata huyo Adam na Eva/ Hawa ni story tu za kufikirika!
Kwani Kiranga anasemaje?
 
Nashangaa huku Tarime kwetu eti mwanaume anapiga mke na panga,mi babu yangu alinifundisha jinsi ya kumpiga mwanamke asirudie kosa tena.

Alinifundisha jinsi ya kumpiga Kofi moja tu,yaani aliniambia unageuza mkono yaani badala ya kumchapa kofi na kiganja we unamchapa kofi kwa kutumia
knuckles vifundo vya vidole unahakikisha unalenga pua tu,na unajua pua ina vishipa Vingi vya damu,kwa hivyo lazima itamwaga damu nyingi baada ya kumsokota hilo kofi.

Hiyo damu itamwagikia kifuani na itachafua nguo zake,kila akiona hiyo damu itamchanganya atakimbia akipiga ukunga wa hatari akijua amepasuka uso mzima,atakuheshimu balaa.
Dah! [emoji16][emoji16][emoji16] Mwamba wewe ndo ibilisi kabisa
 
Sipendi hii tabia ila kuna wanawake wanapenda kupigwa. Mwanamke kupigwa pigwa na mwanaume wako ni wewe umeweka mazingira hayo.
Mkumbuke pia kuna wanawake wanapiga wanaume. Hao nao wasiguswe?

Mwanaume usimpige mwanamke akikushinda peleka kwao.

Mwanamke usiwe sababu ya kupigwa kwako halafu uende kulia umepigwa na mwanaume as if na yeye hana nyongo kama wewe.
kuna makabila mwanamke akipigwa anajua ndo anapendwa anajivunia na makovu kabisa aliyoumizwa
 
Tangu nibalehe sijawahi kumpiga mwanamke hata kofi 1, lakin wanastahili kupigwa tu ikiwa wanavuka mipaka laa sivyo Hawa viumbe wana madharau sana anaweza kuanza kukuita SHOSTI hata kama ni mume wake ilimrad tu kajihakikishia huwa haumgusi
 
Na ukizubaa,kuna wanawake baadhi kiasili hawataki mwanaume mpolempole akiona ndani kumepoa hasikii raha
anaona kama anaishi na mwanamke mwenzake.

Afadhali akuite shost,wengine anavuka mipaka anakushika tackle.
 
Wana matumizi mabaya ya nguvu zao.
Badala mwanaume atumie kupambana kwenye ngumi za kulipwa,eti anagombana na mtu ambaye anajua kabisa atamshinda.

Mimi huwa nasema kila siku kwamba ukijiona una nguvu nenda kafuane na akina John Cenna na Undertaker huko kwenye mieleka.
Ukisema hivyo na mdomo nao uufunge ,usiutumie kumkasirisha mwenzio,vinginevyo utakula vitasa mpaka ngeu!Wanawake hupigwa kwa kutumia vibaya midomo yao
 
Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?

Majibu tafadhali
Duuhhh, hujawah mpiga makofi ???
 
Kwani Kiranga anasemaje?
Shukurani kwa wito wako wa kutaka maoni yangu.

Mara nyingi mambo haya nayaacha watu wajifungue wenyewe jinsi walivyo, nisiweke dhana zangu juu yao.

Ila, maadam umenialika, nina wajibu wa kukujulisha dhana na kanuni zangu.

Kumpiga mwanamke ni kukubali madhaifu mengi.

Yakiwamo.

1. Kushindwa kuchagua mwanamke unayeendana naye. Mwanamke unayeweza kumpiga unatakiwa kumjua mapema na kumkwepa usiwe karibu naye.

2.Kushindwa kuzuia hisia za kinyama za kutaka kumaliza mambo kwa nguvu badala ya akili. Mwanamme anatakiwa kuwa na mbinu za kujizuia kufanya mambo ya aibu kama kumpiga mwanamke.

3. Kushindwa kujenga ushawishi na makubaliano kwa mazungumzo. Mwanamme anatakiwa awe na uwezo wa kujenga ushawishi kwa hoja na hisia nzito kiasi kwamba asihitaji kumpiga mwanamke.

Mwanamke anatakiwa kumheshimu mwanamme kiasi hata mwanamme asifikie kuhitaji kutumia nguvu, mwanamme akishatumia nguvu hapo kuna mapungufu makubwa sana katika mahusiano.

Mimi sijawahi kumpiga mwanamke, kwa sababu sijawahi kuwa na haja ya kufanya hivyo.

Njitahidi wanawake wanione mtu wa faraja kwao, kitu ambacho kwa watu wangu wa karibu wenye akili nimeweza kuwa.
 
Well said....
 
kuna makabila mwanamke akipigwa anajua ndo anapendwa anajivunia na makovu kabisa aliyoumizwa
Mwingine anaweka tu mazingira apigwe.
Unamsikia anasema kabisa bwana mi nafanya si atanipiga tu halafu basi. Sasa mtu wa hivi kweli utamuonea huruma akipigwa?
 
Mwingine anaweka tu mazingira apigwe.
Unamsikia anasema kabisa bwana mi nafanya si atanipiga tu halafu basi. Sasa mtu wa hivi kweli utamuonea huruma akipigwa?
naona wanawake mmegawanyika kuna wengine ukimpiga hata kibao tu kesi yake si mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom