Wana matumizi mabaya ya nguvu zao.
Badala mwanaume atumie kupambana kwenye ngumi za kulipwa,eti anagombana na mtu ambaye anajua kabisa atamshinda.
Mwisho wa siku haijawahi kutokea na haijatokea hadi sasa kujulikana ni kipi hasa Ke anachohitaji katika mahusiano.
1. CHAKULA; Analishwa chochote chakula bora LAKINI Muuza chipsi akikupatia bure chipsi mayai ya kuku mataira anamtunuku papuchi.
2. GARI; Anamilikishwa Prado Land Cruiser au hata V8(in Pole Pole voice) LAKINI Muuza mafuta sheli akimuwezesha ofa ya mafuta ya 10,000/= anagawa kitumbua.
3. MALAZI; Analala kwenye jengo zuri tena la kifahari lakini siku akienda kwa Me mwenye jengo la kawaida au sawa na lile au jingine anagawa sadaka rawe kipochi manyoya.
4. HANDSOME BOY; Akishaolewa naye atadai hayuko vizuri kitandani so mkata nyasi au mfuga kuku/house maid atazawadiwa mbususu.
5. ME MFANYAKAZI, MFANYABIASHA au TAJIRI; Akishaolewa naye atlalamika tena kuwa yuko bize na shughuli zake kiasi hapati muda wa kusikilizwa, kujaliwa, kutaminiwa wala kupetipetiwa kama mtoto mdogo, MUHUNI ASIYEELEWEKA atakuwa akijisevia tunda kimasihara.
6; ME MPOLE; Akishaolewa naye atamkosoa kuwa amezidi upole kama zombi ME MKALI atakuwa anakula pale kati bila kipimo kama mchepuko.
7. ME MKALI; Akishaolewa naye atabebeshwa lawama chungunzima kuwa ni MKATILI, Wazee wa fursa watakuwa wanalamba asali kila akikwaruzana na ME MKALI kijidanganya anamkomoa kumbe anajikomoa mwenyewe.
8. ME MCHESHI/MWENYE UTANI UTANI; Akishaolewa naye akamzoea ataanza kumchukulia sawa na SHOSTI MWENZIYE, hapo Wazee wa kiminyio watakuwa wanatafuna kila siku kipapatio.
9. ME MCHA MUNGU; Akishaanza naye maisha ya ndoa ataanza kulalamika anakosa uhuru wa kujichanganya na mambo ya kidunia(kusikiliza taarabu, kucheza baikoko, kuangalia Tamthilia, mitandao ya kijinga kama BADOO, INSTAGRAM & FACEBOOK), hapo atatoa kisusio kwa ME WA KIMATAIFA vibaya sana.
KE NDIYE KIUMBE PEKEE KISICHORIDHIKA NA KISICHOJUA KINATAKA NINI NDIYOMAANA HUJIWEKEA MAWIGI, MAT**O, MAZIWA HATA K FEKI ILI AMVUTIE ME.
NB: Mawazo yangu siyo sheria.
Sent from my CPH2185 using
JamiiForums mobile app