Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

Subiri siku ukioa ndiyo utajua huwa wanaanzaje. Endelea kujipikia geto tu huku ukiendelea kujiuliza.
Kipindi bado mdogo, nilikuwa najiuliza sana. Inawezekanaje mtu mzima anakosa hata 5,000 mfukoni? Ila nilipokua. Nilijionea mwenyewe
Ila mwanaume anayepgia mie hata mzuka naye unakata kbs..au dume la kufoka foka muda wote mie naku🚮🚮
 
Ukiona mwanaume anapiga piga jua huyo ni dhaifu..hajakamilika...!
Hakuna mtu mkamilifu chini ya jua. Wote ni dhaifu ndiyo maana umekubali kuolewa na huyo jamaa anayepiga.
Ila mwanaume anayepgia mie hata mzuka naye unakata kbs..au dume la kufoka foka muda wote mie naku🚮🚮
Ukishajua unataka nini kwenye maisha hayo mengine hayakusumbui. Ukiona mwenza wako anatabia hiyo, unapiga chini mapema.
N. B
Mapenzi ni ya ajabu sana. Utakuta mke anapigwa kila siku lkn hamuachi jamaa kwanza anazidisha mapenzi.
 
Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?

Majibu tafadhali
On the other hand, mwanamke unaanzaje kumpiga mwanaume?
 
Wanawake wengi ndiyo huwa wanapenda wanaume wa hivi. Wanapenda sana wanaume playboy, wakorofi, walevi n.k
Ndiyo mapenzi ambayo hudumu mara nyingi
Mie napenda mwanaume anizidi akili....yaan kila kitu nikimpasia akisolve....yaan hapo ntakaa! Mwanaume mkorofi mie tutalazana ndani maana na mm mtata balaa,hao playboy yes wazuri wanakata KIU
 
Habari wazeee kwa vijana?
Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu
Hivi mwanaume kabisa umekamilika
Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua
Huwa mnaanzaje?
Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni
Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake akamkumbatia maisha yakasonga
Leo hii baadhi yetu mnakwama wapi nauliza Tena huwa mnaanzaje kupiga wanawake?
Oa kwanza ndio utajua kama tambi ni futari au kuni za jiko!

Af usimfananishe zama za Adamu na leo ambako sampuli ziko za kutosha, kama Adamu angeletewa upumbavu leo angemchukua hata Sanchi! Eva angebaki na ujinga wake 😅😅😅
 
Mwanamke hapingwi anashikishwa tu adabu ili anche jeuri dharau uongo na shombo wa naudhi sana hao wa Dudu hata kama huna lengo la kuumiza utajikuta ume uumiza tu....
Aisee eti"Hao wadudu"Mtu kama wewe Mwanamke anapata wapi ujasiri wa kukuheshimu kama mume ikiwa una lugha chafu zaidi ya kinyesi.
 
Mie napenda mwanaume anizidi akili....yaan kila kitu nikimpasia akisolve....yaan hapo ntakaa! Mwanaume mkorofi mie tutalazana ndani maana na mm mtata balaa,hao playboy yes wazuri wanakata KIU
Hahahah yani mnalazanaje ndani iwe bhojo!?😂😂😂 Huyo atakuwa shosti wako labda! Af we dada una character kama za wale maaskari wakike sijui kwanini hukwendaga CCP jamani!!!
 
Oa kwanza ndio utajua kama tambi ni futari au kuni za jiko!

Af usimfananishe zama za Adamu na leo ambako sampuli ziko za kutosha, kama Adamu angeletewa upumbavu leo angemchukua hata Sanchi! Eva angebaki na ujinga wake 😅😅😅
😀😀😀😀😀😀
 
Nina miaka 39 ya ndoa nilishakuwa mkongwe wa changamoto za ndoa Ila so kumpiga mwanamke
Sasa mwanamke kama hakuvimbii ukimpiga si utaonekana mwendawazimu braza 😂😂😂!!!

Ulitakiwa uoe kizazi cha akina shilole hiki matoto ya 1985 mpaka leo ili uone moto wake! We umeoa mwanamke mwenye stara wa miaka ya 60 huko! Hao wa miaka hio ukimlisha tu na kumvisha karidhika wala hawana mambo mengi wao na usafi wa mazingira na kupika. Ukimuweka dukani nje hapo mambo mswano kabisa.
 
Nashangaa huku Tarime kwetu eti mwanaume anapiga mke na panga,mi babu yangu alinifundisha jinsi ya kumpiga mwanamke asirudie kosa tena.

Alinifundisha jinsi ya kumpiga Kofi moja tu,yaani aliniambia unageuza mkono yaani badala ya kumchapa kofi na kiganja we unamchapa kofi kwa kutumia
knuckles vifundo vya vidole unahakikisha unalenga pua tu,na unajua pua ina vishipa Vingi vya damu,kwa hivyo lazima itamwaga damu nyingi baada ya kumsokota hilo kofi.

Hiyo damu itamwagikia kifuani na itachafua nguo zake,kila akiona hiyo damu itamchanganya atakimbia akipiga ukunga wa hatari akijua amepasuka uso mzima,atakuheshimu balaa.
 
Ukinionea naenda polisi🤭! Hamna niko very polite..ila sipendi kuonewa . Nashindwa kbs kuvumilia ujinga
Hamna mtu anamuoneaga mtu ila tu kule kupishana handling yake ndio inaweza kuzaa makofi kama hautajitambua wewe ni mwanamke!

Mtu ana temper tayari mishipa imesimama nawewe unaendelea kumjibiza kunya aisee kitakachokupata 😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom