Nawewe umeacha pombe mae? Yesuuu...ni tabia ya mtu tu...... hakuna uhusiano
Bila shaka umefanya utafiti kati ya mnywaji na asiyekunywa, hebu lete mrejeshoasante kwa kuelezea vyema
Mnawaona barabarani na kwenye mabaa.... ufundi wao kwenye 6 kwa 6 mmeuonea wapi???wanywaji tunawaona jamani kwani mnanywea mbinguni aki
Nani aliyekudanganya wanaoenda sehemu ya vileo ni wanywa pombe peke yao? Njemba kibao tunakesha nazo baa zenyewe zinagida maji na soda. Zinajichukulia totoz kilaiiiiniMhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake.
Hoja yangu ni kuwa km wanywa pombe hawapendi wanawake mbona machangudoa wamejaxana huko pande za vileo?
Mkuu madem nao wanasema kitu tam ka mpini unaofitiHakuna kitu kitamu duniani kama PAPUCHI/UKE
Acha kulialia mtoto wa kiume just mind your own business... Ukinywa usinywe yote maisha.kwani nilikuita au nilikutag popote?
Wanywaji wanajustify tu unywaji, hakuna ishu zaidi hapo.Hiyo ni nadharia ambayo imejengeka kwenye vichwa vya watu wanaokunywa kuwasingizia wasiokunywa pombe.
Slogan ya rijeshi hiyo muraaa!War, Wine, Woman...
Acha utani bro... Upate kitu Kama JackDaniel utafananisha na papuchi kweli??? Papuchi inakinai Ila pombe haikinai ujue!!!!haishindi papuchi weweee