juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,483
Ni Kweli Tunapenda Wanawake.
Ndo Starehe Yetu
Ndo Starehe Yetu
Pombe nyama na mbateyeee!wewe mtu mkorofi.Walevi wa pombe wanamsemo wao ambao me naujua kwa kisukuma tu."warwa,nyama na nyooo....!!" Tafsiri yake kwa kiswahili imenitoka!
sub topichii topic mpya au?
Wewe pia mkorofiiii.na nnyooooooooo hha
oooppsss hiyo aibu kwa nani ?ok ,aibu lakini
Na ulituonea wapi tukinywa konyagi ndo tuwalambe uzuri?Kwan hatuwaoni mkilewa
Unawaamini? Sio kwamba wanakudanganya ili usiwaibie mabwana zao?wapo wanaodate na wanywaj husema,maswali kama police
Anaona chini kila siku? Hana la kufanya!!kwa hiyo Kila siku lazima uone chini,punguza
Nitarudi kwa ajili yakomsemo Wako huo