Ng'wagi walwa a minze gateho bhagosha!!Walevi wa pombe wanamsemo wao ambao me naujua kwa kisukuma tu."warwa,nyama na nyooo....!!" Tafsiri yake kwa kiswahili imenitoka!
Habari zenu,
Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?
Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa hawawezi kuacha?
Hua nasikia Sana oooh ambao hawanywi pombe wanapenda Sana wanawake,mbona hata wanaokunywa pombe wanapenda wanawake Sana Tu,tena wengine mkilewa huchukua ma barmaid,wengine hujutia asubuhi akili ikimrudi kukuta kalala na kichaa ,
Yaan pombe huwafanya mfanye mambo ambayo mkiwa hamjanywa hamuwezi fanya.
Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa!!!
Upande wangu naona bora ambae hanywi kwa kweli,hata kwenye mapenzi hategemei konyagi ndio apate mzuka,wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka ,yaan akilewa ndio mfanye mapenzi kwa hiyo pombe ndio inamsisimua na sio mwili wa mwanamke,mlio na waume/au wapenzi wanaokunywa hebu jaribuni wafanye mapenzi wakiwa hawajanywa pombe muone
msiwasakame ambao hawanywi jamani
Acha urongo wwe...pombe africa inachukuliwa kama mzigo sijui kwanni...labda sababu ya viroba na chang'aa...fuatilia life styl ya wazungu wanapenda ulabu ila they respect it as part of leisure/relaxation...mama kahusikaje hapa?mama angu hanywi kilevi chochote,
Huoni wanawake wanaokunywa pombe wanavyolalwa hovyo,wanajikojolea ,wanabakwa huoni pombe imewasababishia,pombe huwapa hamu ndio tofauti na asipokunywa
Ukwel mtupu...wanachonga sana nakusengenyanahhhaa unawasingiziaa
Weee vp kama kaoa je?atakua Hana la kufanya kwa kweli
kuna jirani angu mmoja hanywi pombe yule baba ni CHAUMBEA HATARI
Yani hata nirudi saa nane usiku lazma asogeze kapazia kuchungulia
Ni kwa niaba ya wadhamini wetu...haiuzwi chini ya umri wa miaka 18....hahahahahahaha....shemeji Air Heineken imepata ajali umedondokea kwenye huu uzi!?.mweeee!
Nashukuru unafurahia penzi letu, nakuahidi sitokunywa pombe ng'osio kumtetea Tu Bali tunasema watoe hiyo eti wasiokunywa wanapenda nyapu, ofkoz hanywi nna raha balaaa
...hahahahaha....shem ukitoka hapa nipitie pale kwa mama muuza!Ni kwa niaba ya wadhamini wetu...haiuzwi chini ya umri wa miaka 18
Naja shem lake dakika sifuri...hahahahaha....shem ukitoka hapa nipitie pale kwa mama muuza!
..huu uzi wa kimbea!
nimeipendaHabari zenu,