Wanaume ambao hawatumii pombe

Wanaume ambao hawatumii pombe

I don't like it when people talk bulshit about alcohol...
I get my finest ideas in the mornings following the nights of drinking..or when I'm drinking wine.
I get more A's in the semesters I drink much pombe than the ones I don't.. Yaani...
I have more beautiful moments I always reminisce about created out of my drinking nights...
I got helpful friends around the world and I met them in clubs or bars....
Being completely sober feels like some sort of illness.. pombe is just cool...
It's jus some few little minds polluting this 'field'
 
...kata kilevi ujinga ukutoke!..,ujifunze kujenga hoja.,unaposema "mbona hata" umeelewa ulichomaanisha?..unajitekenya afu wacheka mwenyewe ka zoba!
...mengine yote uloandika juu ya wanywa pombe ni shudu tu kama shudu nyingine!
..kawape ng'ombe!
 
Mwanaume asiekunywa nae anakero zake... kila siku sa kumi na mbili usharudi nyumbani, tunaanza kugombea remote kwenye isidingo...

Mwanaume japo uonje kidogo, sa nyingine unachelewa kurud...

mnywaji anakuwa na confidence ya kuongea anayoshindwa akiwa kawaida... so siku akinywa utaambiwa madhaifu yako ujirekebshe kuriko ambao sio wanywaji wakakaa nayo rohon
Nani kakudanganya? mimi sinywi lakini nakaa na walevi hadi usiku wa manane! ila nakumbuka kuna ex wangu mmoja ashaniambia ana wish ningekuwa nakunywa maanake hapumui!
 
ukweli upi?
kupenda ngono au kutokupenda ngono ni hulka ya mtu mwenyewe ambayo inaendana na maumbile kuna mtu hanywi kabisa pombe lakini hapendelei sana mademu na pia kuna mnywaji wa pombe anakunywa kwa starehe tu hachukui mademu kwa ufupi ni tabia na hulka ya mtu basi ila ukiendekeza hata kama wewe ni mlokole utaingia tu kwenye kupenda au kulala na wasichana wa kila aina.
 
...kata kilevi ujinga ukutoke!..,ujifunze kujenga hoja.,unaposema "mbona hata" umeelewa ulichomaanisha?..unajitekenya afu wacheka mwenyewe ka zoba!
...mengine yote uloandika juu ya wanywa pombe ni shudu tu kama shudu nyingine!
..kawape ng'ombe!

umepanik Hua unalewa nini,ptyeeee chukua na hii "Mjinga mpe pombe asahau"
 
Mwanaume asiekunywa nae anakero zake... kila siku sa kumi na mbili usharudi nyumbani, tunaanza kugombea remote kwenye isidingo...

Mwanaume japo uonje kidogo, sa nyingine unachelewa kurud...

mnywaji anakuwa na confidence ya kuongea anayoshindwa akiwa kawaida... so siku akinywa utaambiwa madhaifu yako ujirekebshe kuriko ambao sio wanywaji wakakaa nayo rohon

Kuna wanaokunywa na hawaongei Wako kimya Tu,kuongea Ni hulka ya mtu, mi wangu hanywi na tunakaa bar na rafiki zake wanywaji hata saa Saba,japo mi napenda tuwah home,
na sio kisingizio cha kuambiwa madhaifu,kuongea Ni hulka tu
 
Nani kakudanganya? mimi sinywi lakini nakaa na walevi hadi usiku wa manane! ila nakumbuka kuna ex wangu mmoja ashaniambia ana wish ningekuwa nakunywa maanake hapumui!

hapumui kufanyaje ?malizia basi hhhaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom