Post hii haswa inahusu nini ?
Umalaya ?
pombe ?
Ngono ?
Au hisia zako juu ya wanywa pombe?
au ulikua unacompare wanywa pombe na wasio kunywa pombe ?
Nasubiri jibu huku nakata kiroba
Mimi sinywi na sio mlafi but siku nafanya utaniita majina yooteHabari zenu,
Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?
Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa hawawezi kuacha?
Hua nasikia Sana oooh ambao hawanywi pombe wanapenda Sana wanawake,mbona hata wanaokunywa pombe wanapenda wanawake Sana Tu,tena wengine mkilewa huchukua ma barmaid,wengine hujutia asubuhi akili ikimrudi kukuta kalala na kichaa ,
Yaan pombe huwafanya mfanye mambo ambayo mkiwa hamjanywa hamuwezi fanya.
Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa!!!
Upande wangu naona bora ambae hanywi kwa kweli,hata kwenye mapenzi hategemei konyagi ndio apate mzuka,wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka ,yaan akilewa ndio mfanye mapenzi kwa hiyo pombe ndio inamsisimua na sio mwili wa mwanamke,mlio na waume/au wapenzi wanaokunywa hebu jaribuni wafanye mapenzi wakiwa hawajanywa pombe muone
msiwasakame ambao hawanywi jamani
Malaya wa kike wasiojiuza wamejazana maeneo ya kwaya na fellowships.Malaya wa kike wanaojiuza wamejazana maeneo ya baa na club.
Think twice ktk tafakuri yako
Unaona sasa? Mi nakushauri fanya utafiti ujiridhishe. Tafuta mnywaji na asiye mnywaji.... uone tofauti zao. Usipende kusikiliza maneno ya watu bila kujiridhisha mwenyewehakuna kitu kama hicho
Watu wanaweza kudhani hujasema ukweli. Videmu vya kwaya vitamu kinoma....Malaya wa kike wasiojiuza wamejazana maeneo ya kwaya na fellowships.
Think twice ktk tafakuri yako
Mhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake.Malaya wa kike wasiojiuza wamejazana maeneo ya kwaya na fellowships.
Think twice ktk tafakuri yako
Mambo!Mwanaume asiekunywa nae anakero zake... kila siku sa kumi na mbili usharudi nyumbani, tunaanza kugombea remote kwenye isidingo...
Mwanaume japo uonje kidogo, sa nyingine unachelewa kurud...
mnywaji anakuwa na confidence ya kuongea anayoshindwa akiwa kawaida... so siku akinywa utaambiwa madhaifu yako ujirekebshe kuriko ambao sio wanywaji wakakaa nayo rohon
Ngoja tuombe msaada kwa huyu msukuma Nyani NgabuWalevi wa pombe wanamsemo wao ambao me naujua kwa kisukuma tu."warwa,nyama na nyooo....!!" Tafsiri yake kwa kiswahili imenitoka!
Akikuambia usisahau kuniambia pia!!Ngoja tuombe msaada kwa huyu msukuma Nyani Ngabu
Namewahi kusikia hilo but lina ukweli robo kwani kila mtu ana ulevi wake sio pombe au ngono tuu. Walevi wanaongoza kwa ngono hasa ambazo hazina maandalizi. Walevi ndo wanaongoza pia kulalamikiwa kitokidhi kiu ya wenza kwani huwa hawana kauli nzuri, domo chafu kiasi cha kumwondolea mwenzi hamu ya tendo.safi ,unaonaje hizo tuhuma kua Ni walevi wa wanawake ambao hamnywi
Poa poaAkikuambia usisahau kuniambia pia!!
Nmekuelewa mkuu.. Nami hoja yangu ni kwamba, kupenda wanawake ni hulka tu.. Iwe club, bar, church, wherever... Wapenda papuchi wapo tu...Mhe. Ishu ni wanywa pombe vs wasiokunywa pombe kwamba wanaume wasiokunywa pombe wanapenda wanawake.
Hoja yangu ni kuwa km wanywa pombe hawapendi wanawake mbona machangudoa wamejaxana huko pande za vileo?
Namewahi kusikia hilo but lina ukweli robo kwani kila mtu ana ulevi wake sio pombe au ngono tuu. Walevi wanaongoza kwa ngono hasa ambazo hazina maandalizi. Walevi ndo wanaongoza pia kulalamikiwa kitokidhi kiu ya wenza kwani huwa hawana kauli nzuri, domo chafu kiasi cha kumwondolea mwenzi hamu ya tendo.
Kwa sisi tusiokunywa hata maandalizi ya tendo humfanya mwenza kuwa tayari kwa tendo hata kumfanya afike kilele