iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,917
- 2,142
lengo la post ni nini yaani mtu kauuliza halafu anajijibu ama kweli donard trump anavyotuponda waafrika yupo sahihi
i dont drink but when u see me partying u would think i had few tequila shots!I know bro! Boring huh?!!!
sio wote... mark my wordsila mwanaume anayekunywa pombe ni kero sana
Hahahaa, si wanakosa la kufanya kwaio kilichobaki ni mdomo tu...wengi wao wapo hivyoWanaume ninaowajua hawanywi pombe ni WAMBEA MFANO HAKUNA
Afu we ukome kuisema pombe vibaya tafadhali tena tafadhali sana
Post hii haswa inahusu nini ?
Umalaya ?
pombe ?
Ngono ?
Au hisia zako juu ya wanywa pombe?
au ulikua unacompare wanywa pombe na wasio kunywa pombe ?
Nasubiri jibu huku nakata kiroba
Malaya wa kike wanaojiuza wamejazana maeneo ya baa na club.Habari zenu,
Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?
Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa hawawezi kuacha?
Hua nasikia Sana oooh ambao hawanywi pombe wanapenda Sana wanawake,mbona hata wanaokunywa pombe wanapenda wanawake Sana Tu,tena wengine mkilewa huchukua ma barmaid,wengine hujutia asubuhi akili ikimrudi kukuta kalala na kichaa ,
Yaan pombe huwafanya mfanye mambo ambayo mkiwa hamjanywa hamuwezi fanya.
Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa!!!
Upande wangu naona bora ambae hanywi kwa kweli,hata kwenye mapenzi hategemei konyagi ndio apate mzuka,wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka ,yaan akilewa ndio mfanye mapenzi kwa hiyo pombe ndio inamsisimua na sio mwili wa mwanamke,mlio na waume/au wapenzi wanaokunywa hebu jaribuni wafanye mapenzi wakiwa hawajanywa pombe muone
msiwasakame ambao hawanywi jamani
...ona sasa!..utakuwa uliugua Zika utotoni,si bure!umepanik Hua unalewa nini,ptyeeee chukua na hii "Mjinga mpe pombe asahau"
Hao ni bahati mbaya, ila wasokunywa ndo tabia yaohata walevi wapo wambeya Sanaa akilewa aongea yotee,au akiwa hajanywa
Ulijuaje mpenzi?wanawaonea Sana ambao hamnywi wakati wao wakinywa wakilewa wanakua hovyo sana