Wanaume ambao hawatumii pombe

Wanaume ambao hawatumii pombe

Hakuna mtu aliezaliwa akawa mlevi ghafla bin vuu sasa jiangalie wewe kabla hujaanza kunywa ulikuaje na sasa unakunywa umekuaje ukishindea jitoe kwenye kundi la wanywaji na ujiite muonjaji tu....
Kwa hisani ya safari lager kadhaa kichwani
 
Wanaume ninaowajua hawanywi pombe ni WAMBEA MFANO HAKUNA
Afu we ukome kuisema pombe vibaya tafadhali tena tafadhali sana
Kuna wanaokunywa na hawaongei Wako kimya Tu,kuongea Ni hulka ya mtu, mi wangu hanywi na tunakaa bar na rafiki zake wanywaji hata saa Saba,japo mi napenda tuwah home,
na sio kisingizio cha kuambiwa madhaifu,kuongea Ni hulka tu
Unabisha nini hapo sasa hanywi anakaa bar mpaka saa saba usiku kama sio kutafuta umbea ni nini? Nyie ndo mnatuletea nzi bar
 
Unaona sasa? Mi nakushauri fanya utafiti ujiridhishe. Tafuta mnywaji na asiye mnywaji.... uone tofauti zao. Usipende kusikiliza maneno ya watu bila kujiridhisha mwenyewe

we kila kitu Hua unakifanyia utafiti?ukimuona shoga unahakikisha ukamfanyie utafiti ndio uamini kua Ni shoga,najua we Ni mnywaji ndio maana wajitetea
 
Unabisha nini hapo sasa hanywi anakaa bar mpaka saa saba usiku kama sio kutafuta umbea ni nini? Nyie ndo mnatuletea nzi bar

tukalale mapema sie kuku?Hua tunasikiliza umbea WA walevi wanavyoropoka PIA tunakua na yetu
 
we kila kitu Hua unakifanyia utafiti?ukimuona shoga unahakikisha ukamfanyie utafiti ndio uamini kua Ni shoga,najua we Ni mnywaji ndio maana wajitetea
Mi sinywi pombe. Najaribu kuweka mambo sawa.

Ukiniona niko bar ujue kuna kipapuchi nakimendea. Hakuna raha duniani kama kumega papuchi mpya....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom