chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,010
Some wasabato wanahusika hapa,hawanywi pombe lkn nyapu wanaipenda balaa
Kwahiyo mwanamke anayekunywa pombe na yeye anapenda sana wanaume, hna mzuka wa tendo mpaka anywe?! Ask your mom first, then come back to us!
ukweli upi?
Nina mawazo kama yako.Huwa nami najiuliza kupata stimu kwa kunywa pombe hiyo yote ya nini.Hiyo harufu ya pombe huwa nami siipendi. Niliwahi kukutana na mwanamke amekunywa pombe sikuwa interested nikamwambia ukweli. Akaninuliza kwani una majini? Hata sikuelewa kwa nini ananiuliza majini..kwa ufupi naafiki mawazo yako.nakusema kua unapenda wanawake Sana au?au sijakupata
Nina mawazo kama yako.Huwa nami najiuliza kupata stimu kwa kunywa pombe hiyo yote ya nini.Hiyo harufu ya pombe huwa nami siipendi. Niliwahi kukutana na mwanamke amekunywa pombe sikuwa interested nikamwambia ukweli. Akaninuliza kwani una majini? Hata sikuelewa kwa nini ananiuliza majini..kwa ufupi naafiki mawazo yako.
Mwingine anakufanyia vitu vya hovyo zen kesho anakuomba msamaha..Mi uwa sielewi somo kwenye hilowanawaonea Sana ambao hamnywi wakati wao wakinywa wakilewa wanakua hovyo sana
Wengibe wanakunywa wine... mdomo unaanzaje kunuka"Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa !!!" Mkuu mbona unakisingizia kiraji hakina tabia hii kabisa