Wanaume ambao hawatumii pombe

Wanaume ambao hawatumii pombe

Unataka kutuambia maadamu mapdre wa Katoriki ni wanywa pombe basi swala la uzinzi limewapita kuliko wachungaji wa makanisa ya kiprotestant ambao hawanywi pombe
Mkuu elewa nlichokiandika kwanza,ndo maana nimeandika baadhi yao sio wote sipend kugeneralize.Nmeandika kutokana na first hand experience kwa ndg,classmates na hta workmates wa hyo imani.Mambo ya makasisi wa kikatoliki ukiweza anzisha t mada utajibiwa vizuri tu kwa leo sina muda wa kuwajadili.
 
Sijawahi kuona mwanaume mnywa pombe asiyependa wanawake labda yule yuko kwenye alcohol abuse, usemi wa kusema walokole, waislamu, wasabato na wote wasiokunywa pombe kuwa ni wapenda wanawake ni kichekesho sana maana hapa mnataka kuniambia barmaid huondoka na mnywa soda bar ikifungwa

Pili kama ulivyosema My hubby kuna ukweli kwa sisi wanaume tukijua mwanamke fulani tumtakaye ni mnywa pombe ni plus kumpata kuliko mwanamke asiyekunywa pombe huwa tunajiandaa kwelikweli kumuweka sawa lakini anayekunywa tukijua ni mnywaji tayari tumaini la kumpata kwa urahisi linakuja

ndio nawaambia wasiwazingizie wao ndio wanapenda wanawake balaaa,akishalewa haangalii sura wala nini Ni anazoa tu
nyie msiokunywa mapenzi yenu hamtegemei konyagi ndio mpate mzuka Ni hisia zenu za kweli ,wao mpaka wanywe kwanza,hata Kuna mtu kakoment hapo anasema bila kiroba hawez kufanya mapenzi
 
Mkuu elewa nlichokiandika kwanza,ndo maana nimeandika baadhi yao sio wote sipend kugeneralize.Nmeandika kutokana na first hand experience kwa ndg,classmates na hta workmates wa hyo imani.Mambo ya makasisi wa kikatoliki ukiweza anzisha t mada utajibiwa vizuri tu kwa leo sina muda wa kuwajadili.

nawe ungeanzisha mada hiyo ya wasabato
 
Hakuna wanaume Malaya kama walevi afu wakilewa hawachagui nyama yoyote twende.
 
Sijawahi kuona mwanaume mnywa pombe asiyependa wanawake labda yule yuko kwenye alcohol abuse, usemi wa kusema walokole, waislamu, wasabato na wote wasiokunywa pombe kuwa ni wapenda wanawake ni kichekesho sana maana hapa mnataka kuniambia barmaid huondoka na mnywa soda bar ikifungwa

Pili kama ulivyosema My hubby kuna ukweli kwa sisi wanaume tukijua mwanamke fulani tumtakaye ni mnywa pombe ni plus kumpata kuliko mwanamke asiyekunywa pombe huwa tunajiandaa kwelikweli kumuweka sawa lakini anayekunywa tukijua ni mnywaji tayari tumaini la kumpata kwa urahisi linakuja
Ukweli mtupu!!!....Niongezee hapo kidogo,sio tumaini la kumpata,na tumaini la kumgegeda pia ndio kubwa zaidi!!
 
...kata kilevi ujinga ukutoke!..,ujifunze kujenga hoja.,unaposema "mbona hata" umeelewa ulichomaanisha?..unajitekenya afu wacheka mwenyewe ka zoba!
...mengine yote uloandika juu ya wanywa pombe ni shudu tu kama shudu nyingine!
..kawape ng'ombe!
Hahahahaaaaaaaa shkamoo shemeji
 
Kwani Mada inaongelea Mlevi au Mnywapombe? Kuwa ana mu accuse asiyekunywa anapenda Dadaz
 
Habari zenu,

Hivi kwanini wanaume ambao hawanywi au hawatumii pombe husakamwa kua ni walevi wa wanawake?

Nini kinawafanya watu wawafikirie vile au ni kuwaonea wivu kua hawanywi wanaokunywa hawawezi kuacha?

Hua nasikia Sana oooh ambao hawanywi pombe wanapenda Sana wanawake,mbona hata wanaokunywa pombe wanapenda wanawake Sana Tu,tena wengine mkilewa huchukua ma barmaid,wengine hujutia asubuhi akili ikimrudi kukuta kalala na kichaa ,
Yaan pombe huwafanya mfanye mambo ambayo mkiwa hamjanywa hamuwezi fanya.

Na bia zenu hizo Hua zinawafanya mnanuka mwili mzima pombe ,mdomo unanuka kama choo khaa!!!

Upande wangu naona bora ambae hanywi kwa kweli,hata kwenye mapenzi hategemei konyagi ndio apate mzuka,wanywa pombe mpaka anywe ndio apate mzuka ,yaan akilewa ndio mfanye mapenzi kwa hiyo pombe ndio inamsisimua na sio mwili wa mwanamke,mlio na waume/au wapenzi wanaokunywa hebu jaribuni wafanye mapenzi wakiwa hawajanywa pombe muone
msiwasakame ambao hawanywi jamani
Unakumbuka hii::::::::::: Mwanamke kumchuna mumeo ni sawa na kujiibia mwenyewe
 
Mkuu elewa nlichokiandika kwanza,ndo maana nimeandika baadhi yao sio wote sipend kugeneralize.Nmeandika kutokana na first hand experience kwa ndg,classmates na hta workmates wa hyo imani.Mambo ya makasisi wa kikatoliki ukiweza anzisha t mada utajibiwa vizuri tu kwa leo sina muda wa kuwajadili.[/QUOTE

Hakuna propagation wote tunaandika kwa baadhi, na iwapo hoja ni baadhi kutolea mfano wasabato kuna kosa hoja kwasababu sio absolute nami kutolea mfano wa mapadre (wanywapombe) vs wachungaji (wasiokunywa pombe) ni katika kuweka mlinganisho kuoa iwapo ni kweli basi kama ni kwa baadhi kila sehemu hakuna hoja hapa bali ni uhuska wa mtu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom