Wanaume ambao hawatumii pombe

Wanaume ambao hawatumii pombe

Imechanganya sana mada My hubby hadi ikafikia hatujui hasa motive yako ni nn hasa!

Anyway kama nipo sahihi ni kuwa ww at least if not at last unaweza ukawa na asiye kunywa pombe!

Kama nipo sahihi njoo kwangu mm sinywi so sitanuka mdomo wkt wa kissing!Ni PM
 
We are here to drink beer,we are here to make love. We are
here to kill war. We are here to laugh at the
odds and live our lives so well that Death
will tremble to take us.
 
Inavyosemekana wanakuwa na kitu cha ziada wanachokipenda tofauti na pombe .......sio wote ila kwa ndugu yangu mm hanywi ila anapenda Sana big G anakwambia zinamtoa stress akianza kutafuna ni buruguntu mpaka utashangaa.
 
kwi!kwi!jf bwana!saiz wote hawanywi pombe ila wnapenda papuchi!kila mtu anajifnya hatumii gambe!!!!
 
mi pombe sinywi!Papuchi napenda ila wenyewe hawanipend!Nahis sinna mvuto kwa watoto wa kike!
 
Inawezekana Kwa kiasi fulani ule muda wa free ambao ungekuwa na wanywaji unajikuta unajishuhulisha na kuchat na lewabebez. Kwahivyo kuna ukweli Kwa kiasi fulani. Chamsingi lewabebez Wawe benet na watu wao.
 
Mbona unamuingiza kamanda wetu pombe kwenye mambo yenu ya kugonoka naona mmekosa maada
 
wanakionea sana mkuu
Kipindi nipo chuo week end nimeenda home mzee kaniambia pinga moja uende hostel ukapate nguvu ya kusoma gari si likawa aiseee nikapiga mpaka saa sita nipo hoi ikabidi niingie room nilale halafu kesho UE kuna paper ya kibabe control engineering mbishi nikaingia kibishi na hangover zangu halafu tokeo kuja kutoka ni B+ ...kiraji kinatumia na watu smart kichwani
 
Wanaokunywa na wasiokunywa utawajua tu kwa comments zao
 
mama kahusikaje hapa?mama angu hanywi kilevi chochote,
Huoni wanawake wanaokunywa pombe wanavyolalwa hovyo,wanajikojolea ,wanabakwa huoni pombe imewasababishia,pombe huwapa hamu ndio tofauti na asipokunywa

Sijawahi kuona mwanaume mnywa pombe asiyependa wanawake labda yule yuko kwenye alcohol abuse, usemi wa kusema walokole, waislamu, wasabato na wote wasiokunywa pombe kuwa ni wapenda wanawake ni kichekesho sana maana hapa mnataka kuniambia barmaid huondoka na mnywa soda bar ikifungwa

Pili kama ulivyosema My hubby kuna ukweli kwa sisi wanaume tukijua mwanamke fulani tumtakaye ni mnywa pombe ni plus kumpata kuliko mwanamke asiyekunywa pombe huwa tunajiandaa kwelikweli kumuweka sawa lakini anayekunywa tukijua ni mnywaji tayari tumaini la kumpata kwa urahisi linakuja
 
Some wasabato wanahusika hapa,hawanywi pombe lkn nyapu wanaipenda balaa

Unataka kutuambia maadamu mapdre wa Katoriki ni wanywa pombe basi swala la uzinzi limewapita kuliko wachungaji wa makanisa ya kiprotestant ambao hawanywi pombe
 
Inavyosemekana wanakuwa na kitu cha ziada wanachokipenda tofauti na pombe .......sio wote ila kwa ndugu yangu mm hanywi ila anapenda Sana big G anakwambia zinamtoa stress akianza kutafuna ni buruguntu mpaka utashangaa.
anakula mirung huyo anakudanganaya big g
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom