Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,905
- 19,688
Watoto wadogo wanakuwa wamekula vya nani?kila siku unakula vya watu unakimbia na kurukaruka....siku ukijaa kwenye mfumo ukipigwa machine unasema umebakwa!!.....acheni kupenda vya dezo
Ni kweli hakuna mwili unaohalalisha hivyo ila kuna aina ya uvaaji inashawishi sana kufanywa hivyo hasa pale miili hiyo inapokutana na wanaume wasio tambua hiloHakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,
Hiyo sababu haitoshi kuhalalisha Gender kufutwa. Na ni nani anaifuta kwanza?Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
kwa watoto wadogo matukio mengi ni mambo ya kishirikina, sio starehe wala kumkomoaWatoto wadogo wanakuwa wamekula vya nani?
Nataka ufikirie ubakaji ina bigger picture.
MPAKA NAJISHANGAA MAANA NIKIYAONAGA TU KWISHA HABARI...labda ni ile hisia ya kumuamini na kumpenda mama mzazi kwa wanaume hivyo jambo la kukumbusha hisia hizo ni nyonyoNje ya mada,umenikumbusha movie ya Notting hill,Julia Robert anamuuliza William,
"What is it about men and nudity? Particularly breasts? How can you be so interested in them?
I mean, seriously they're just breasts, every second person in the world has them.they're odd looking, they're for milk,you've seen a thousand of them. What's all the fuss about??
Kwenye mada,is ubakaji ugonjwa wa akili au uhalifu??
Wengine tukisema wanaosagana wauawe, tunaonekana tunavunja haki za binadamu.Guys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,
Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,
Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?
Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,
Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,
Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ya kua na mahusiano nae,
Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,
Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,
Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Kusagana ni consent but ubakaji sioWengine tukisema wanaosagana wauawe, tunaonekana tunavunja haki za binadamu.
Regardless wanaosagana wauawe.Kusagana ni consent but ubakaji sio
Akili ndogo kama chaja ya Pini ndogoGuys, wallah leo nimechafukwa sana ukija hapa uje na akili timamu, nina kirungu changu ukileta uzwazwa nakubwenga cha utosi akili ikukae sawa,
Matukio ya ubakaji wanawake na watoto wa kike ni mengi hadi natetemeka lakini haya yote yanaletwa na wanaume wapumbavu wanaoangalia mwili wa mwanamke kama chombo cha starehe,
Hivi nyie wanaume miili ya wanawake ina tofauti gani na yenu? ile kujazia jazia hata nyie mmejazia, wembamba hata nyie kuna wembamba, manyonyo hata nyie kuna wenye nayo, nini shida jamani mbona mnatukosesha amani wanawake?
Mwanamke akivaa kiguo chake kifupi atembee kwa raha zake inakua gumzo lakini mwanaume akivaa kiguo kifupi husikii kabakwa au kadhalilishwa, miili mbona ni ile ile tu,
Mbona watu wa zamani walikua wanaishi uchi na hakukua na matukio ya ubakaji wala udhalilishwaji, hiki nini mnafanya nahisi hadi kichefu chefu,
Ifike mahala sasa tutaichukua heshima yetu kwa nguvu, haiwezekani kila siku nyinyi tu, kuna wengine humu humu hizo tabia chafu mnazo, unajisikiaje kushika titi la mwanamke bila ridhaa yake au kushika tako la mwanamke ya kua na mahusiano nae,
Hakuna mwili unaohalalisha ubakaji,
Hakuna vazi linalohalalisha ubakaji,
Hakuna tabia inayompa mtu haki ya kuvuka mipaka ya mwingine,
Tujenge jamii inayohehimu wanawake bila kufanya miili yao kua sababu ya lawama au udhalilishaji,
Nikisema hii gender ifutwe naitwa feminist.
Daaaaaaaaaaaaamnnnnnnn
Ila nafikiri hiyo sio mada ambayo ka adress,au mimi ndio sijaelewa??Regardless wanaosagana wauawe.