Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 454
- Thread starter
- #61
Tusubiri na tuone,time will tell.
Japo pressure ziko juu.
Kesho itakua balanced usijaLi..jiandae alhamis kumpongeza yt hair
Tusubiri na tuone,time will tell.
Japo pressure ziko juu.
Lindi shemej yao kikwete na mtwara kwa ghasia na mkuchika..sasa ni ngome za UKAWA kivip? au kwa7b lindi mjin ilichukuliwa na CUF?
Kama hujui ki2 zip-up
Mkuu Pemba tayari,Moshi,Mbeya,Mwanza,Lindi,Mtwara tayari,hebu tuambie hizo ngome.Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'
Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana
Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!
Never Say Never..⚪️
Mtwara mjini sialikuwa mbunge ccm ujui ngome za ukawa wewe subiri uone kitakachotokea
Ngome zetu ambazo tunazitegemea.... Dar, arusha, moshi, iringa, Mbeya,mwanza. Mikoa iliyobaki tutagawana kama morogoro, Dodoma, Singida na mikoa mingine iliyobaki
Ngome zetu ambazo tunazitegemea.... Dar, arusha, moshi, iringa, Mbeya,mwanza. Mikoa iliyobaki tutagawana kama morogoro, Dodoma, Singida na mikoa mingine iliyobaki
Andaeni tu hela za Hospital kwenda kutundikiwa drip.Tusubiri na tuone,time will tell.Japo pressure ziko juu.
Kesho muda kama huu usisahau kuitika jina