Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

Ngoja tusubiri ila inaboa sn kwa ccm kushinikiza tume kutotangaza matokeo maeneo mengi ambayo ukawa wameshinda

Leo ngome zao zitaisha..hakutakua na namna tena' watakuja huku UNYAMANI
 
Ngome za Ukawa ambazo Magufuli kamning'iniza lowassa

lindi mjini
mtwara mjini

Lindi shemej yao kikwete na mtwara kwa ghasia na mkuchika..sasa ni ngome za UKAWA kivip? au kwa7b lindi mjin ilichukuliwa na CUF?

Kama hujui ki2 zip-up
 
Leo ngome zao zitaisha..hakutakua na namna tena' watakuja huku UNYAMANI

Mkuu wangu hivi ngome zenu ni zipi hasa? Kama sio Arusha ,Mbeya na Kilimanjaro pekee? Kumbuka hapo Magufuli hajagusa kabisa Dodoma na kanda ya ziwa!
 
ukimya huu baada ya kuona mnachemka????????????????mbona mwanzo jf mlikuwa na kelele sana
 
hahahahhhahahhaa nyanoko gete yani ulitaka tuchague huyo fisadi ili iweje
 
Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'

Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana

Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!

Never Say Never..⚪️
Vipi, si mlisema Mwanza ni yenu, subiri kipigo cha kufa mtu. Huoni viongozi wako wapo kimyaa na wamesahau ile nyimbo ka KULINDA KURA,

NA BADO
 
Ngome za Ukawa ambazo Magufuli kamning'iniza lowassa

lindi mjini
mtwara mjini

Lindi shemej yao kikwete na mtwara kwa ghasia na mkuchika..sasa ni ngome za UKAWA kivip? au kwa7b lindi mjin ilichukuliwa na CUF?

Kama hujui ki2 zip-up
 
Jipe moyo cha msingi ni kujiandaa tu kisaikolojia kushindwa
 
yaan waliodeki lami mwanza hawajamchagua lowassa sijaamin matokeo ya mwanza, watu ni wanafiki
 
Mkuu wangu hivi ngome zenu ni zipi hasa? Kama sio Arusha ,Mbeya na Kilimanjaro pekee? Kumbuka hapo Magufuli hajagusa kabisa Dodoma na kanda ya ziwa!

Unasahau dar..pia hyo mikoa idadi yao ya watu utafananansha na

Lindi

Mtwara na

Ruvuma?
 
Back
Top Bottom