Leo ngome zao zitaisha..hakutakua na namna tena' watakuja huku UNYAMANI
Ushindi kwa lowassa upo(mark my words)
Mtanikumbuka nachokisema kuanzia kesho kwani hadi sasa ngome za ccm zimetajwa karibia zote bado zetu
Kamanda ndio imetoka hiyoMpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'
Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana
Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!
Never Say Never..⚪️🔴🔵
....
.....Asante sana Mkuu kesho Fainali !!!
Ushindi kwa lowassa upo(mark my words)
Mtanikumbuka nachokisema kuanzia kesho kwani hadi sasa ngome za ccm zimetajwa karibia zote bado zetu
Nishagundua kitu.
Kwa njia ya kura hatuwezi kuiondoa CCM.
Tuangalie namna nyingine.
Kinachotakiwa Tume isiwe ya chama chochote hapo kila mtu ataridhika na matokeo na ikiwezekana iwe ya kimataifa
Sina imani na tume.
Hayo majimbo mengine wanachakachua tu sasa hivi.
Hili swali wala sijibiwi, NGOME ZA UKAWA NI WAPI?
Nijuacho mimi ni Mbeya mjini na Arusha na kilimanjaro! Wapi kwingine?hii dozi bado sana!
Ngome za ukawa ni zipi?
endeleeni kujifariji
kweli mkuuMkuu linaukweli hilo???
Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'
Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana
Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!
Never Say Never..⚪️