Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

Hivi ata EDO tume imtangaze mshindi kama tunavyotaka iwe je serikali yake itakuwaje ukuwa ccm wana wabunge theluthi mbili bungeni
 
Sina imani na tume.
Hayo majimbo mengine wanachakachua tu sasa hivi.
 
Tusubiri na tuone,time will tell.
Japo pressure ziko juu.

Uko wapi nifah sisi tupo tunasherekea ushindi wa kubenea hapa ngome ubungo msewe na wa lowasa kwa kumpiga magufuli kura 40000+
 
Last edited by a moderator:
Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'

Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana

Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!

Never Say Never..⚪️🔴🔵

Hebu taja hizo ngome za UKAWA...
 
Yaani.. natamani tuongeze majimbo mengine ya kutosha tu..
 
Arusha mjini magufuli kapigwa gep la kura 90000 (elfu 90)

Mnaandika lakin?
 
mie naona kama tushaangukia pua

Acha uwoga mkuu..hawa wanakaa

Arumeru masharik gep elfu 57

---/---- magharibi gep elfu 60+

Arusha mjini kuna gep la elfu 90

👆👆👆 hzo ni za urais
 
Naomba kimoyomoyo wakatae kumtangaza Maalim kama mshindi wa zenji ili nipate sababu ya kumkataa mtu wao makusudii bara
 
Acha uwoga mkuu..hawa wanakaa

Arumeru masharik gep elfu 57

---/---- magharibi gep elfu 60+

Arusha mjini kuna gep la elfu 90

 hzo ni za urais

Shida ni kwamba hayo wanayaweka mwisho ku justify wizi wanaotaka kuufanya..watatangaza mwishoni ya uongo kesho yake wanaapisha..halafu hakuna kupinga mahakamani..
 
Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'

Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana

Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!

Never Say Never..⚪️🔴🔵
Kura zimeshajulikana bado kutangazwa tu.itabidi ukawa wasubiri 2020
 
Back
Top Bottom