Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

Damu tena ya nn jombaa.....kwani wakati wanatoa elimu ya kujiandaa kisaikolojia kuhusu kushindwa wewe ulikacha Ufipa????.....
Daa mkuu ccm bwana cjui wanatuchukuliaje Tanzania yaani very disappointing result for us
 
Kuna watu vilaza sana Tanzania yani ccm hawatumii democracy wanatumia ubabe kwa mfano omari nundu
 
Mchezo mchafu uliochezwa kwenye huu uchaguzi unaudhi sana
 
Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'

Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana

Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!

Never Say Never..⚪️🔴🔵


endeleeni kujifariji
 
Nakupa mfano mdogo sana..ucpoelewa bas' kwa arumeru mashariki na magharibi tu kuna gep ya URAIS ya takribani laki na ishirini (120,000)

Hapo hatujazba mtwara na lindi hvo vgep vyenu? hayo ni majimbo mawili tu

Uelewa wako ni mdogo sana, achana na habari ya jimbo moja, zungumzia hali halisi ya matokeo, muda wa porojo umekwisha mzee.
 
Amakweli ukipenda chongo utaita kengeza kamaccm imewika mikoa yote ila arusha NA moshi bado mna mategemeo?
 
dah wasukuma wenzangu na wagogo dah tanzania aitowasamee kwa kufanya watoto wetu wasisome elimu ya bure mpaka chuo
 
dah wasukuma wenzangu na wagogo dah tanzania aitowasamee kwa kufanya watoto wetu wasisome elimu ya bure mpaka chuo

Mkuu usiwalaum sana wasukuma..kaiman na ndg yao ndo kamewafanya wafanye maamuz magum kuchagua wasichokipenda
 
Back
Top Bottom