Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,098
- 12,112
Mpaka kufikia jion tume itakua itakua imemaliza ngome zao..kulingana na huu mchezo unaendelea wa kutaja majimbo yanayoongozwa na chama dola'
Baada ya hapo ktakachofuata ni UNYAMA tu, tutawachakaza sana
Ngoja niweke maneno ya akiba nsiyamalize yote!
Never Say Never..⚪️🔴🔵
Hivi hizo ngome za ukawa mnazozisema ni zipi?