NILINUNUA KWA MTU USHAHIDI USIO NA MASHAKA, ie NI MASHAMBA YA WATU/WENYEJI MPAKA LEO wanaishi kwenye mashamba yaoUna document gani?
So una Ushahidi wa maneno ? huna ata sale agreement ?NILINUNUA KWA MTU USHAHIDI USIO NA MASHAKA, ie NI MASHAMBA YA WATU/WENYEJI MPAKA LEO wanaishi kwenye mashamba yao
I have a sale agreement witnessed by all authorities of the area situate.So una Ushahidi wa maneno ? huna ata sale agreement ?
Umejaribu kufanya follow up ya compensation..?I have a sale agreement witnessed by all authorities of the area situate.
All in all nadhani hujanielwa an ndilo tatizo nnalolipata. Je Halmashauri ya mji inatumia sheria gani kutangaza matumizi ya eneo langu bila fidia? (labda niliweke hivyo).
Planning area najua huwezi kufanya maendelezo say ya ujenzi bila kibali, but not confiscating ones land and assigning it various uses without compensation..... nisaidie kama umenielewa
Not at all. Hawakunipa noticeUmejaribu kufanya follow up ya compensation..?
Na je, walikushirikisha kwa kukupa notice yeyote kabla ya kuchukua eneo lako.??
Na wewe ulikuwa wapi sasa hizo 10 years zote kufanya inquiries..?Not at all. Hawakunipa notice
Labda nieleze kuwa haajajenga ila wameweka ramani kuonesha hapa kuna nini na kula kuna nini......na ni muda mrefu over 10 yrs
You can not claim ownership without evidence and notably documentary evidence be it sale agreement or otherwise!So una Ushahidi wa maneno ? huna ata sale agreement ?
We nawe huna unalolijua,utazidi tu kumchanganya mwenzio.So una Ushahidi wa maneno ? huna ata sale agreement ?
Nafikiri ungejibu hoja ya msingi kwanza,mana tatizo sio kununua ardhi bila hati,hapa tatizo ni eneo la mtu kupangiwa matumjzi bila mmiliki kushirikishwa.Haya mambo ya kununua maeneo bila hati imekuwa ni shida kubwa nchini
Hapo jambo la msingi ni kumwandikia barua mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya uliyopo,akupe ufafanuzi wa mkaati wa matumizi ya eneo hilo upoje,na mkakati huo ulianza mwaka gani na wao kama halmashauri walichukua hatua gani kuutangazia umma juu ya mpango huo wa kuendeleza eneo hilo.Wameligawa kuwa la open space, PB, shule , kanisa, msikiti, makazi etc etc.
Sheria iansemaje na kama una case law kuhusu scenario hiyo naomba
ASANTE KWA KUNIELEWA. THANKS AGAINWe nawe huna unalolijua,utazidi tu kumchanganya mwenzio.
Issue iliyopo hapa sio utata wa umiliki au mauziano,ni suala la eneo kupangiwa matumizi na halmashauri bila ya mwenye eneo kuhusishwa.
Sasa mambo ya sale agreement yanatokea wapi hapo.
Waache wataalamu waje wamsaidie!!
Nimekupata vizuri. Walioniuzia na majirani hakuna aliyetaarifiwa. Wote kwa ujumla wao na wala hawajawahi kuona halmashauri inakuja kupima na kuwashiriksha. Wanasema walifanya kinyemela na walikuwa hawajui mpaka nilipokwenda halmashauri nkakuta kuna kitu kama hicho na kuwapa taaifa. Kila mmoja alilia.Hapo jambo la msingi ni kumwandikia barua mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya uliyopo,akupe ufafanuzi wa mkaati wa matumizi ya eneo hilo upoje,na mkakati huo ulianza mwaka gani na wao kama halmashauri walichukua hatua gani kuutangazia umma juu ya mpango huo wa kuendeleza eneo hilo.
Ikiwa eneo hilo lilipangiwa matumizi hayo kabla ya wewe kununua,na wenyeji walitaarifuwa na halmashauri,hapo umefanyika utapeli kwa waliokuuzia.Wafunhulia mashtaka wakulipe hela zako na fidia nyengine.
Ikiwa halmashauri walipanga matumizi ya eneo baada ya wewe kununua,wanapaswa wakulipe fidia kwa eneo lako walilolitwaa.Waandikie barua ya kukulipa fidia,wakikataa,fungua kesi ya ardhi mahakama kuu,kwa kesi hiyo inahusisha serikali.
Ikiwa,halmashauri walipanga matumizi ya eneo kabla ya wewe kununua na wakakaa kimya bila kuutangazia umma,issue inayoibuka hapo ni uzembe(negligenc)unapaswa kuishitaki halmashauri kwa uzembe ili wakulipe gharama zako na fidia iliyosababishwa na uzembe wao.
Changamoto.
Changamoto kubwa inayoibuka hapo ni kwamba ilo jambo lako limekaa kwa zaidi ya miaka kumi 10 kwa nilivyokuelewa,xaxa nahofia kwamba utakutana na mapingamizi mengi kuhusiana na ukomo wa kufungua mashauri(Time Limitation to file suit).
Ila jaribu kwanza kufanya maulizo ya halmashauri,watakachokujibu ndio utajua pa kuanzia.
Sijajua hiyo taarifa umeipata mda gani kutoka hapo halmashauri mpka sasa.n
Nimekupata vizuri. Walioniuzia na majirani hakuna aliyetaarifiwa. Wote kwa ujumla wao na wala hawajawahi kuona halmashauri inakuja kupima na kuwashiriksha. Wanasema walifanya kinyemela na walikuwa hawajui mpaka nilipokwenda halmashauri nkakuta kuna kitu kama hicho na kuwapa taaifa. Kila mmoja alilia.