GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 285
- 304
Kwenu mnaosomesha watoto shule za gharama ilihali serikali inatoa elimu bure , mzazi unapeleka mtoto kujiunga kidato cha kwanza shule binafsi utazani labda wanafundishwa masomo tofauti na alie shule za umma hayo ni matumizi mabovu ya pesa.
Wazazi wengi wanapenda show off hasa wazazi wa kike kuona watoto wao wanasoma shule za pesa mingi.
Mwanafunzi wa shule binafsi na umma ni walewale tu kwasababu wanafundishwa maada sawa kama ni physics wote watasoma physics masomo mengine yanayofundishwa shule binafsi nikujaza madaftari bure tu sijui commerce, mara kifaransa ili iweje itamsaidia nini?
Shule binafsi zinatoa malezi ya kimamamama tu hustle zipo shule za umma mtoto anajifunza maisha kuinteract na watu wengi kujenga bond na n.k, ngoja niishie hapo tu.