Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Hahaha naona unamkimbia mume mchana kweupe. Haka ka bibi yako sijui nikanyang'anye kadigrii kake??


Usimfanyie hvyo bwana.....kama vipi mwongezee na ya pili.....afu kama anatakiwa kufanya mitihani ya professional afanye kabisa....
 
kweli bweg.e yaani wewe ndio uniharibie siku hizi?
kwanza sijawahi kuharibiwa siku
we stress zako za kutokuolewa unaniletea mimi
utabaki kuwa mchepuko
mi sitaki kuolewa hadi nishuhudie ya kwako au umeamua kuishi naye tu bila ndoa?????
 
Raha ya Ndoa ni Mwanaume kuwa kiongozi na mwanamke kubaki mshauri tu.
 
we dada yako unamlinda vipi?

Namna ya kumlinda dada yangu au binti for that matter ni kuhakikisha anapata elimu ya kutosha. Kama ataolewa well and good. Kama hataoloewa at least amudu maisha yake binafsi. Hata hao la 7/F4 wanatamani wangesoma ili maisha yao yawe na uhakika!
 
Huu ni uoga ndio unakusumbua tuu! Mtu kama wewe unaweza usi someshe watoto wako kwa kuamini ili wawe wake wazuri wanatakiwa waishie form four!

Mimi naamini mtu yeyote anatengenezwa kutoka kwenye familia yake!
Hata hao walio ishia la Saba wana matatizo Sana tena huwa wana badilika sana.....
 
Hahahaha pole sana dada najua Umekatishwa tamaa ya ndoa datz y unaropoka.Ucjali ipo cku utampata mpenda vibovu kama ww,All the best
sasa ni nani atakaye taka kuolewa na kivulana empty headed ka wewe....unatitia kinyaaaa...mchweeee!!!!
 
Kumbe mkio wenye degree mnapiga mahesabu ya kuwafanya chuma ulete.....heheheee yani siku mume wangu akiuona mshahara wangu ajue nimempa sadaka...

Me baba yangu ajipinde kunisomesha halafu we uje udai mshahara kama mlisaidiana vilee...ukiuliza umenioa....

Then tukidai usawa mnakuwa wakali...mwanaume ukitaka kuwa kichwa cha familia basi uwe kichwa katika kila kitu hadi matumizi ya nyumbani....!
Tena hadi nauli ya kwenda kazini umpe mkeo na mshahara usihoji....

Hii hapa hapana mkuu
 
haa haa unataka kulet janja ya nyani eeh!!! unataka babu yangu ajipack aje halafu umpe line ya tigo eeh??? babu Asprin shtukia hii

Hahahahaha mi mjanja kama Mandela. Siuziwi kibudu kwenye kiroba.
 
Last edited by a moderator:
Bora uwoe std seven au form ujue matumizi ya nyumbani ni juu yako kuliko kuoa degree ukitegemea mtasaidiana maisha mwishoni hata mshahara huujui sh.ngapi na hata hachangii chochote

pole naona yamekukuta! Life is how you make it! Huyo Wa degree unampangia majukumu tu! Mambo kusaidiana!
 
Back
Top Bottom