Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

upeo wa mwanamke wa darasa la saba/4m4 hauwezi kulingana na aliefika degree wanaume semeni mnaogopa challenge tu
wanawake wenye challange ya degree wanajifanya hawapo duniani,basi obama awaoe
 
usimsomeshe mdogo wako wa kike wala watoto wako wa kike ili AJE AOLEWE akifika la7 tu muachiahe shule aolwe

haa haaa haaa huyo bintie ataishia kuzalishwa tu halafu mwanaume atatafuta msomi aoe ili awe ma familia bora
 
upeo wa mwanamke wa darasa la saba/4m4 hauwezi kulingana na aliefika degree wanaume semeni mnaogopa challenge tu
utapeka challange yako yako ya ujuzi na uzuri wapi?hehehe
 
Kim nana
kwani nani ambaye hajasomeshwa na wazazi wake? na kama unalijua hilo basi na ww usiulize mshahara wa mume wako maana na yeye pia baba yake alijipinda kumsomesha kama baba yako alivyojipinda, na vilele ili kutimia neno ndoa au wanandoa ni lazima kuna neno kuoa na kuolewa kwa pamoja tuna pata hayo maneno, so achana na iyo habari ya kusema we si umenioa, ukiongea kauli kama hiyo naona kama unazingua vile.
 
Last edited by a moderator:
sasa we mwenyewe umeishia la pili A!wa degree utamuweza wapi???? hebu muwe mnachukua mnaofanana nao msituletee shombo hapa

Walah umeua mamito....and sredi clozd
 
MO11

hujui kitu kuhusu wanawake wewe ngoja nisopoteze energy mie.......
 
Last edited by a moderator:
acheni uwoga wa bure mwanamke ata awe na elimu gani hapa duniani mwesho wa siku all she will do is spread legs simple wala usiogope . na ukishindwa dominate a woman u aint a man enough

Leo umeongea point mnooo....mwanaume anayejitambua hata angekuwa la saba akaoa degree ataheshimika tu. Inferiority cmplex zinawamaliza
 
Na wewe si ujenge kwenu nyooo

we haya maandiko yana maana gani ?mathayo 19:6 6 Hata wamekuwa si wawili
tena, bali mwili mmoja. Basi
aliowaunganisha Mungu,
mwanadamu asiwatenganisha.

na mm nikijenga kwetu tutajenga lini kwangu mimi na wewe ?
 
Naona ni ujinga tu wa mwanaume asiyejiamini,
yaani mzazi wangu atumie pesa yake kunisomesha leo nimepata kazi nimuache aendelee kuishi kwenye tembe!!

Haiwezekani....never
 
Back
Top Bottom