Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 19,203
- 30,248
Siku zote anayetamani kufanya hiyo KAZI, huwa hapati! Anapata yule ambaye hata hakutegemea
Selection ya hizo type of work hufanyika kwa umakini sana. Kiufupi ni kwamba huchagui ww wanakuchagua wao