Uchaguzi 2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!
Huu utumbo hata Yesu wenu anawashangaaa maana akisikia jina Lissu kibiriti kwenye moyo kinazima n kuwaka
 
Humu tukiandika vitu konki vya kila mgombea wengine watadhani tuna unazi na chama fulani.

Sisi wengine tuko vijijin zaidi kwa issue za maisha kuna kitu vijijini vinatrend tofauti na mitandaoni.

Jamani fanyeni utafiti wapembe wenu walioko vijijini wanawadanganya
 
Niko hapa Usseri Rombo jimboni kwake Selasini wanakijiji hawamjui kabisa Lisu..... Wengine wanasema eti Lisu wanayemjua ni mwimbaji wa nyimbo za Injili siyo mwanasiasa!
Hao Warombo wa Usseri hawana shida maana wanadai hata Selasini mbunge wao hawamjui. Sasa kama Selasini Mrombo mwenzao hawamjui unategemea watamjua Lissu?
 
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!
Nani amekudanganya?
 
Kuna kitu huelewi Watz wa sasa hawataki kusikia ccm ndio maana maeneo mengi wanajiapiza kua hata ukiweka jiwe tunachagua upinzani yaani chadema.....

Pamoja na hayo ujue kua Tundu Lissu anajulikana kote nchini
 
Hofu kwa mtu asiyejulikana vijijini?!

Ulianza kusema ana kesi hivyo asichaguliwe, lakini unaona kabisa ndio tunayemtaka, inabidi useme hafahamiki! Safari hii ndio utaamini kuwa jiwe hawezi siasa za ushindani, na lazima atalambishwa mchanga. Kampeni zilizopita alikutana na yule mchovu wa elimu elimu elimu. Safari hii kazi anayo.
 
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!
Acha uongo mkuu, Nani asiyemjua Tundu Lissu?? Acha kujidanganya
 
Ulianza kusema ana kesi hivyo asichaguliwe, lakini unaona kabisa ndio tunayemtaka, inabidi useme hafahamiki! Safari hii ndio utaamini kuwa jiwe hawezi siasa za ushindani, na lazima atalambishwa mchanga. Kampeni zilizopita alikutana na yule mchovu wa elimu elimu elimu. Safari hii kazi anayo.
Tahadhari yangu haimaanishi kwamba atakapotua vijana wa IGP hawatashughulika naye!
 
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!
Kwani kampeni hazitafanyika?
Nani aliyekuwa anamjua Che Nkapa?
Mbona alipigiwa kampeni na akamshinda mzee wa Kiraracha? Bwashee unafeli wapi?
 
Kwa jinsi watanzania tunavyopenda miujiza usishangae siku Lissu akitua bongo watu wata kanyagana na kuuwana kisa kumwona tu.

Sasa hebu fikiria atakapokuwa kwenye kampeni lazima kutakuwa na mikusanyika ya kufa mtu, Pumbafu Lissu njoo utokemeze ujinga waliowekewa watanzania na ccm.

Njoo tukomboe mali za wananchi ambazo zinashikiliwa na ccm wakati tulizijenga wote kama wananchi. Njoo Lissu tunakusubiri kama Yesu anavyosubiriwa aje kuhukumu wenye dhambi. Manina njoo Lissu ukimbize wezi. We missed you a lot
 
Kumnadi TL ni rahisi sana...unawaambia tu wanavijiji TL ni yule aliyepigwa risasi nyingi na watawala, hapo wote wanaingia huruma kama ilivyo hulka zetu watz tufanyavyo pindi mtu anapoonewa halafu woote wanamzawadia kura za huruma!!!.

Na hiki ndicho watawala wanapata hofu kwa TL.
 
Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa.

Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa.

Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa sababu ndiye anayejulikana zaidi kwa wananchi na sifa anazo.

Maendeleo hayana vyama!

Unakumbuka uchaguzi 1995 kabla ya kuanza kampeni nani alikuwa maarufu kati ya Mkapa na Mrema?
 
Back
Top Bottom