Uchaguzi 2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

Upinzani watauawa tu na tume lkn isingekuwa hivyo wangeshinda vibaya hata kama wangesimamisha kisiki.

Magufuli hana lolote la maana alilofanya lililowapa watu unafuu wa maisha.

Hilo ndilo muhimu wanaloangalia wananchi sio midege, reli sijui kuhamia Dodoma wala Stieglar Godge. Watu wanaangalia unafuu wa maisha na ndivyo ilivyo duniani kote.

Yeye atakuwa "Mshindi" wa tume tu kwa sababu pia ni mtu anayeogopa sana siasa za ushindani, rejea rekodi yake toka akiwa mbunge kule Chattle.
 
Nilidhani ungefurahia Chadema izikwe rasmi!!

Kuwa mkweli nafsini, mnamtaka Mbowe kwa sababu ya kashfa za kweli na za uongo!! Mnajua hisia za waTz kuhusu shambulio la Lissu na hamtaki aliyenusurika kifo aonekane jasiri!! Wengi wa waliogopa siasa za upinzani na kuondoka kabisa, hawakufikia alichopitia Lissu.

Muacheni dhaifu Lissu agombee, ili ushindi wa CCM uwe mkubwa zaidi!!
Small mind.
 
Back
Top Bottom