Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

R
Jamani jamani tazama Marco Polo zinazopita hapo daraja la kanoni karibu na bukoba .nyie wachaga bwana mnajisifia yutong
hqdefault.jpeg
49857582_2151608188486805_2842184458590809285_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo inafika hadhi hata robo ya hii ya machame?
Acha vitukoView attachment 1017898

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nyumba ya Nani? kijiji gani? Kata gani?na je vijiji vya moshi hata mgomba haupo.au sie hatujui moshi mi nawachora Tu wakati ujombani ni rombo napafahamu vzr.huyo amekuambia ni ya Nani .kama ni lodge tuambie inaitwaje.kitu ambacho mnashindwa kujifunza Kwa wahaya ni kujisifia ukweli na Kwa fact yaani kama unamchukia mchukie lakini kasema ukweli.sio uongo uongo kama mnavyofanya mmefanana wakenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSIVURUGE UZI KURUMBANA KUHUSU MOSHI/BUKOBA nje ya mada?
Pia msituletee picha za nyumba kujisifia kwenu, AFADHALI UNGESEMA NYUMBA HII NIMEJENGA KIJIJINI KWETU. KUjenga wajenge wenzio we kazi kupiga na kuposti. lete chako!
 
Instagram haidanganyi... Hapa ndio Kamuchumu hahahahahaha pamefubaaaaa

Inakuwaje wanashindwa kupambana na hilo vumbi? Ndio maana Billion 7 za Vunjo zinawaumaView attachment 1017969View attachment 1017970View attachment 1017971View attachment 1017972View attachment 1017973View attachment 1017974View attachment 1017975View attachment 1017976View attachment 1017977

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha Instagram haijawahi kumuacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na hayo pia bila ya kutumia nguvu sana,nakushaur kidogo ufike machame tuu,hakika utajionea majumba na makazi bora kabsa ya watu.ukianzia lambo extet pandisha mpaka mlimani angalia barabara na pia ukiweza shuka uingie vijjn yaani kama mashare,marukeni mfoni,nnyama,makoa kalali kisiki,nkwarungo,nkwanamboo,foo,uduru ,kialia na kwngne kote ambako nimepasahau utaona kila mtu anachakarika na level ya maisha inaridhisha kwa watu wa maeneo haya.yaani hawa ni waisraeli wa tz,,wamebarikiwa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuaminije sioni picha .Nami nitakutajia Nami vijiji kibao hapa vya tarafa ya kamachumu,kiziba,izimbya,bugabo .Kwanza uhayani ni pakubwa Sana kuzidi Kilimanjaro .wilaya ya muleba Tu ni kubwa kushinda wilaya zote za wachaga.ila inajitahidi kimiundombinu na makazi yako vzr Sana tembelea kamachumu huone.wahaya wanakutwa kwenye sehemu ya wilaya misenyi,muleba na bukoba vijijini na ziko vzr Sana . sasa ukiongeza wilaya za biharamulo,ngara ,kyerwa na karagwe ( ingawa ni pazuri Kwa kiasi chake) kagera inaonekana iko nyuma kitakwimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni Nshara.. hiyo picha ina nyumba ya Mbowe na Hotel ya Aishi..

Wazee wa Muleba bado nataka mniletee English Medium kama hii iloyoko kijijini Muleba au Bukoba Vijijini
View attachment 1017913View attachment 1017914

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Mimi nakushangaa Sana unapojisifia English medium nakuona kama mshamba Fulani hivi.hivi ni Jambo kubwa Sana kuwa na English medium kijijini tena ndani? Mbona muleba, bukoba vijijini na misenyi shule zote zinazofanya vizr kitaifa zipo vijijini.mjini bukoba kuna secondary 31 moja Tu zilizobaki zipo vijijini huko huku mkoa wa kagera ukiwa na shule Mia mbili.
Hebu tafuta top ten wa mwaka Jana darasa la saba ambazo zipo tano kumi Bora zote zipo vijijini st severine, rweikiza,bishop huwiler,mushemba trinity,st Michael,st achileus kiwanuka,at Joseph nk zote zipo vijijini huko ndani tena migombani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu hiyo ni kila mwaka. Na hiyo ni kata moja tu na wananchi wake. Sasa jimbo zima lina kata ngapi? Yaani nyie kata zote jimbo zima + mfuko wa mbunge + kanisa lenu + diaspora wenu + wasamaria wema mnachanga hela ya km 6 za barabara??? Na bado mnapost?? Seriously!?!?!??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli unatia huruma eti kata moja,mna ubavu gan nyie maskini? Huko misenyi kumepooza pale kyaka nashangaa watu wanafanya manunuz jumapil kwa jumapil tu cku nyingn zote kumepoa alafu ndio uniambie eti kata moja mnachangia 150m hahaha mna huo ubavu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado mkuu...

Naitafuta Nyumba ya Panone, hekalu za kina Mengi, nyumba aliyojongewa Kyln na Mengi, Hekalu za Mangi Shangali hapo to mention few..

Alafu niende Kibosho, niende Marangu, tumalize na Rombo.. Watakimbia humu leo..

Vipicha vyao vya Kamuchumu nimeviweka kutoka insta. Sasa waende insta kama watakuta maeneo ya Marangu, Machame, Rombo, Kibosho yamepauka vile..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha asanteee mkuu Hawa wahaya Leo watakuta kuzaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo bil 7 zitajenga lami? Km 6 tu??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbna unakuwa kiziwi wa akili?
Bilion 7 tunakarabt barabara zote za vijijin vunjo nzima
Lami tunayo ndan ya Jimbo la vunjo tuna lami kutoka marangu himo via kilema ,marangu mwika via namba na hizo sio main road Ni l'ami ndan ya Jimbo
Sasa we usichoelewa nnn? Pole Sana umechanganyikwa unaongea vitu ambavyo haviko coordinated hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ukitaka kuwa muongo jitahidi kuwa makini. Kuna ndugu yetu anaweka picha za Instagram zikionesha ni za huko Kilimanjaro. Naomba nimuumbue hapa waziwazi. Picha na location inayoonekana havina uhusiano hata kidogo, kwa maana picha inaweza kuwa ya Dar huku location ni Moshi. Mfano mdogo tuangalie kwenye hizo picha hapo chini, hakuna eneo linalofanana na hilo huko nshamba muleba BUT location inaonesha ni nshamba muleba.
Ndugu zetu wachagga mnatia aibu
Nadhani baada ya post hii wachagga hamtaonekana tena humu
Screenshot_2019-02-09-21-01-43.jpeg
Screenshot_2019-02-09-21-01-33.jpeg
 
Nimwwakamata hawachomoki, wanahangaika na mahoteli mi naweka majumba ya kuishi tu wanapagawa. Wamezoea story za kwanye kahawa kutoka kwa anti-bukoba wanashangaa kuona the real bk
Hawa wameumbuka wanasikia maneno ya ant bukoba ndo wanakalili. Mtu hajui hata kamachumu ikko wilaya gani walichokipata Leo hawatakisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom