Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Aisee nimekaa bukoba miaka minne kwa kweli hii sehemu hairidhishi kuifananisha na Kilimanjaro, Moshi na sehemu.nyingne za Kaskazini.

Bukoba ni Chafu

Bukoba haina mchanganyiko wa watu kutoka mikoa mbali mbali, wahaya tu ni 99%.

Bukoba hawatumii lugha ya Taifa, kihaya haya tu.

Wana Bukoba hawaleti maendeleo kwao.

Nimeacha bukoba airport ikifanyiwa ukarabati, sijui kwa sasa imeisha ama la.

Wakuu acheni kufananisha Bukoba na sehemu za kimataifa! Kilimanjaro and Arusha are other National symbols Internationally.

Nimewaambia ukweli, simjui hata mmoja hapa!
 
Tumeshamaliza... Kuanzia Bukoba Vijijini mpaka Muleba hakuna shule ya kuifikia ile Medium school ya Machame kijijini..

Sasahivi hatutaki ubishi sana. Tunataka uhalisia, tunataka picha zenye tag ya location kutoka vijiji vya Bukoba.

Nimeshaanza kutupia za Machame na Marangu. Hatutaki fix tunataka uhalisia sasa tuone vijiji vya Bukoba.

Mfano umeuona hapo juu.. nenda randomly IG tafuta location ya Muleba alafu tuletee picha za Muleba hapa..

Hapo ndio tutamaliza ubishi kiulaini Tu bila jasho.

Picha za Kamachumu nimeziweka.. vumbi na nyumba za mbavu za mbwa, shule duni ya udongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuonyeshe moja tu kama hii..

Plz msiniletee za Muleba mjini, nataka za Bukoba vijijini. Maana mkileta za Mjini na mimi nikileta za Hai mjini hapatatosha..
View attachment 1017816View attachment 1017817

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tazama hapo mlimani Adolph kolping primary schools
hqdefault%20(1).jpeg
37.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tupige picha nyumba zote za Moshi mjini?

Kaka tunataka kilocation zaidi, huko ndiko kuna uhalisia..

Fanya kama vigezo vinavyosema. Tunataka picha za wananchi wa kawaida kabisa.

Kama hizi za Kamuchumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20190209-173512.jpeg
Screenshot_20190209-173617.jpeg
Screenshot_20190209-172943.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wacha kabisa Mambo yako hamuwez tufikia kwa hospital tumeanza n'a za Lutheran tukakutoa knock out tukaja za katoliki ukaomba poo tumekuja kwenye shule naona kimya kimezid
Hahahaha cku ya Leo hutoisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hauko kama wachaga wenzako.unachamba Tu huna fact .waliomo humu wanaona mshindi ni Nani baada ya kuona hospital sio kawaida,na makanisa na dini pia mukaamia kwenye elimu ambayo ndo kabisa bukoba ndo kitovu chake hebu tazama uwekezaji Kwanza huu WA hii shule huko bukoba niletee shule ya moshi yenye Marco Polo zote hizo kaizirege and kemebos schools bukoba.shule nyingi za dar na bukoba zinazomilikiwa na wahaya ndo zinafanya vzr Kwa sababu ya elimu.mi mwenyewe leta nimalize degree yangu hapa nataka nipate phd pray for me I think I will succeed.haya kemebos hiyo shule ya pili kitaifa mwaka huu form four.View attachment 1018115
302.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 53064.jpeg
    53064.jpeg
    14.3 KB · Views: 17
Hivyo vi bus vilivyochoka Marcopolo kule uchagani ni uchafu
Check hii yutong mpya inapiga route Moshi rombo km 40 tu
Kule uchagani ni kawaida mtu kumiliki mabasi hadi 30
Mfano mtei exp Ana mabasi 25
D'ar express Ana 40
Machame safari 12
Lim safari yutong 8
Ibra Line yutong 10
Kidia one yutong 12
BM hazihesabiki
Nk kwenye mabasi Wala usiseme kitu utapata stroke bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameishakujibu Hilo basi sasa ni dar rombo baada ya wateja kukosa.just imagine ndani ya mkoa wa kagera kutoka bukoba to ngara ni mabus.pia huku hela zipo na abiria wapo just imagine dar lux ameanza kwenda bk nauli elfu sabini na tano.na hajuti kupeleka gari huko .hebu tazama hapo ingawa nakubali stendi ni mbaya japo inajengwa nyingine kyakarabwa.
FB_IMG_15496388693846367.jpeg
FB_IMG_15496387760536449.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom