hatuwezi kukamilika kwa 100% hata ulaya na marekani hawajakamilika
lakini Kilimanjaro miundombn IPO juu
mno kulinganisha na mikoa mingine
ni mkoa Gan wananchi wanaweza kuchanga mabilion kama sii Kilimanjaro tu?
uzuri mmoja Kilimanjaro tunajiongeza serikali inamalizia tu, ndio maana mkoa wetu ni wa 2 tz wananchi wake kuwa na gdp kubwa
pia ni mkoa wenye miundombn toshelezi karibu 95%,uliwahi sikia Kilimanjaro tuna uhaba wa zahanati,shule nk?
tunataka barabara zote za vijijin tuziboreshe ziwe Kama uzunguni Kama imewezekana kwenye elimu,maji,afya barabara hazitushindi Big up Wana klm
sundoka
instanbul