Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Wananchi Vunjo wachanga billion 7.2 kujenga barabara

Alafu tupicha tule tule, ni rahisi kujua kwamba luambo makiadi next analeta picha gani. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hizi sio gest nyie washamba ni nyumba za kuishi watu hapa ni nshara machame pekee
Nkiweka za marangu,rombo mtajiarishia
Mtofautishe lodges na makaz ya watu aisee washamba huwa wanasumbua Ila siwalaumu maana uhayan Hakuna midude Ka hii lazma mshangae
tapatalk_1549719512227.jpeg
View attachment 1017943
tapatalk_1549719495313.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete hapa hilo gazeti acha blah blah

Sent using Jamii Forums mobile app
Somaaaaa hiyoooooo!! Zoom usome habari nzima! Hiyo ni kata 1 tu. Na kuna project nyingi za hii kata hazijaandikwa hapo mkitaka nitazishusha na picha juu! Kila mwaka jamaa wanachanga around 150M ni kata moja tu na hakuna aliyefungua uzi hapa. Kwetu haya ni ya kawaida sana.

Alafu digidigi wa kichaga anasema jimbo zima wamechangia barabara km 6 tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
IMG-20190114-WA0075.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pamoja na hayo pia bila ya kutumia nguvu sana,nakushaur kidogo ufike machame tuu,hakika utajionea majumba na makazi bora kabsa ya watu.ukianzia lambo extet pandisha mpaka mlimani angalia barabara na pia ukiweza shuka uingie vijjn yaani kama mashare,marukeni mfoni,nnyama,makoa kalali kisiki,nkwarungo,nkwanamboo,foo,uduru ,kialia na kwngne kote ambako nimepasahau utaona kila mtu anachakarika na level ya maisha inaridhisha kwa watu wa maeneo haya.yaani hawa ni waisraeli wa tz,,wamebarikiwa kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atleast we una urgue kwa points. Mkuu mimi sikatai kwamba ni pabaya. Ila ujue hapa kwa kuwa sote hatupo maeneo husika tunaweka evidences. Nyie zileteni tuendeleze mjadala. Ndio maana ya maongezi kiongozi. Sio ugomvi kamanda wangu. Sisi tunaoleana kila siku. Harusi za kila siku miji yote ni ndoa za mhaya na mchaga. Nyie ni wake zetu wapya. Natania mwamba[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimwwakamata hawachomoki, wanahangaika na mahoteli mi naweka majumba ya kuishi tu wanapagawa. Wamezoea story za kwanye kahawa kutoka kwa anti-bukoba wanashangaa kuona the real bk
Huchomoki kwangu Leo
Hizi Ni nyumba za kuishi watu sio gest Ni nyumba gan uhayan Ina hadhi hii? Iweke hapa mchaga lazma aweke garden si unajua tena mchaga kwa usafi? Mhaya ni mchafu natural
tapatalk_1549719495313.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni Nshara.. hiyo picha ina nyumba ya Mbowe na Hotel ya Aishi..

Wazee wa Muleba bado nataka mniletee English Medium kama hii iloyoko kijijini Muleba au Bukoba Vijijini
View attachment 1017913View attachment 1017914

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua haitakosa hoteli hapo. Hebu fanya kama unajitoa akili uende kijijini utuoigie vipicha vya nyumba za wananchi bhana. Achana na haya mambo ya gesti hausi zinakuaibisha kamanda angu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somaaaaa hiyoooooo!! Zoom usome habari nzima! Hiyo ni kata 1 tu. Na kuna project nyingi za hii kata hazijaandikwa hapo mkitaka nitazishusha na picha juu! Kila mwaka jamaa wanachanga around 150M ni kata moja tu na hakuna aliyefungua uzi hapa. Kwetu haya ni ya kawaida sana.

Alafu digidigi wa kichaga anasema jimbo zima wamechangia barabara km 6 tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1017940

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa vi milion 150 kwa bilion 7 vinaingia Mara ngapi? Yan héla yenu ya miaka 5 ndio hiyo tuliyochanga kwa mkupuo bilion 7
Yan nyie maskini. Huwa n washamba kweli yaan milion 150 kwa milion elfu 7 unajilinganisha? Hahaha pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu Sisi wachaga hatuna wivu wa kulogana kama wa kagera
Mchaga akijenga nyumba ya vyumba 5 mwingine atajenga ya 10
Akinunua Rav 4 mwingine natanunua klugger
Ndio maana hadi kiama, uchagani haitakaa irudi nyuma
Uhayan huwa wanaoneana wivu wa kuuana mfano kule muleba ndio balaa Kuna kata inaitwa kimwani kule ndio hatari muleba nimeizunguka Sana kwanzia nchi kavu Hadi kule vusiwan rwazi,bumbile,ikuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilion 7 za vunjo ni kukarabati barabara zote za vijijin jimbo la vunjo: sio kujenga l'ami
L'ami ipo marangu to himo via kilema,marangu mwika(kumbuka sio main road) kazi inaendelea picha hizi hapa
Nyie hamna ubavu wa kukusanya hata milion 10 kwa mkupuo acha ubishi wa kijinga
Watu tunachanga milion elfu 7 unaleta hadithi zako hapa za kimaskini ?View attachment 1017928View attachment 1017929

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hiyoooooooo
IMG-20190114-WA0075.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa vi milion 150 kwa bilion 7 vinaingia Mara ngapi? Yan héla yenu ya miaka 5 ndio hiyo tuliyochanga kwa mkupuo bilion 7
Yan nyie maskini. Huwa n washamba kweli yaan milion 150 kwa milion elfu 7 unajilinganisha? Hahaha pole

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu hiyo ni kila mwaka. Na hiyo ni kata moja tu na wananchi wake. Sasa jimbo zima lina kata ngapi? Yaani nyie kata zote jimbo zima + mfuko wa mbunge + kanisa lenu + diaspora wenu + wasamaria wema mnachanga hela ya km 6 za barabara??? Na bado mnapost?? Seriously!?!?!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom