sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,771
Unanifurahisha na picha za Bukoba! Kizuri zinaonekana kabisa kutoka eneo husika. Kama ni nyumba unaiona oabisa iko migombani. Ni makazi ya mtu. Sio hawa wenzetu kutwa wanapost gest houses[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Et karne ya 19, tumekushika pabaya. Hiyo bk halisi sasa. Kila kitu tuko fit View attachment 1017887View attachment 1017888View attachment 1017889
Sent using Jamii Forums mobile app